Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

Baadhi ya wanawake mnapokua faragha kukimbilia kuvua nguo, badala ya kusubiri kuvuliwa na mpenzi wake.
Jamani zile hatua za kuvuana nguo zina raha yake na msisimko wa pekee, hasa kutoa chupi.Kumvua mwanamke chupi ni moja kati ya vionjo pindi mnapokua mnaelekea kufanya mapenzi.

Nashangaa mtu mko ndani dakika nyingi mtu amevua nguo amevaa taulo.

Mwanamke vua nguo zote uwezavyo unapokua faragha na mpenzi wako ila nguo ya ndani mwanchie mpenzi wako akuvue kwa mahaba.

Nadhani nimeeleweka
 
Inategemea na mazingira kuna mazingira ruksa kuanza kuvua mwenyewe...

Katika kwichi kwichi msiweke mazingira mpaka mzoeane, kuzoeana ndio mwanzo wa kukinaiana.
 
Ila asikwambie mtu luvuliwa raha sana yani unafeel ile kitu Fulani,,Mara nyingi huwa naivunja hii sheria ya kusema ukiolewa hakuna kulala na chupi hapana,,huwa namisi kuvuliwa kwakweli koh koh
Hahahaaaa. Aiseeee.

Naleta maji jamaani mumy sababu sio kwa mpalio huo. Koh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom