mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,582
- 45,191
Mngh!Hahaaa. Mbalizi anaimwaga haswaaaa.
Mngh!Hahaaa. Mbalizi anaimwaga haswaaaa.
Hahahaa. Na kweli shoga kuanza kusimamisha mishipa ya kichwa hapana aiseeee.Siasa zenyew za maji machafu za kazi gani sasa.
Si bora huku mtu unafurah,,kwanza hii tz ukiifatilia sahv mbona unaugua ugonjwa wa moyo kabisa,sasa cha kufia nn
There you areeeeeSiasa zenyew za maji machafu za kazi gani sasa.
Si bora huku mtu unafurah,,kwanza hii tz ukiifatilia sahv mbona unaugua ugonjwa wa moyo kabisa,sasa cha kufia nn
Tangu kuumbwa kwa ulimwengu mapenzi yalipendwa kuliko vyoteMada kama hizi hupendwa na wengi. Ingekuwa inazungumzia Kilimo Bora cha Mapapai isingelipata wachangiaji.
Hahahaaa. Nimesogea tari [emoji85] [emoji85] .Hlf weeeewe![emoji23] [emoji23] [emoji23]
ebu sogea nikuchape kibao cha kukupongeza kwanza!!
Ndio maana ikaitwa simu ya mkononi- sio ya mikononiMm Mme wangu akiomba sim huwa na log out kabisa hata asijuie anonym yangu akiona huu upupu anaweza nipasua
Unalima 24/7?Mada kama hizi hupendwa na wengi. Ingekuwa inazungumzia Kilimo Bora cha Mapapai isingelipata wachangiaji.
Bwana weeee, shida tupuHatupendeki. Akiwahi kuvua malaya akichelewa anaringa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaa. Na kweli shoga kuanza kusimamisha mishipa ya kichwa hapana aiseeee.
Tucheke tu na Mbalizi hapa.
Tena lol.Mngh!
Hapo mtihani!Na kwa wale ambao hawavai picchu je!?
Baelezeeeee baelezeeeeee dada mkuuTangu kuumbwa kwa ulimwengu mapenzi yalipendwa kuliko vyote
Hahahaaa. We Mbalizi weweee. LolNdio maana ikaitwa simu ya mkononi- sio ya mikononi
Phaaaaah!!!!!!Hahahaaa. Nimesogea tari [emoji85] [emoji85] .
Ndio ukweli huo Mbalizi.
Kabisaa mwenzangu akuu ctak mieNdio maana ikaitwa simu ya mkononi- sio ya mikononi
Shushia rafiki shuahia, hahahahaaaaa
[emoji125] [emoji125]Tena lol.
Hahaha usipaliwe shoo ndo ukweli huoo najua akiona haya atanimind sasa ya kaz gani hajui hata kama huwa naingia sangapi wooii
Sasa kama lile ni shuka unaliletaje kwenye mada ya chupi! Anzisha thread ya shuka uliongelee kwa undani huko.Mbona watoto wa kike wanasema usiniletee chupi niletee bikini ...ila ya yule binti ile si chupi ni shuka kabisa