iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,917
- 2,142
Bora na mi umenisemea maanake nimeshangaa mpaka nimeshindwa nichangie nini.Kwahiyo unajisifu au?
Habari zenu mimi ni mschana wa miaka 23 nimeshatembea na wanaume 35 na kati ya hao niliokuwa na mawasiliano nao ni watatu tu na kati ya hao kuna mmoja ndo ananihudumia nikimwambia kitu ananifanyia ila anaishi na mwanamke, na mwanamke wake ni mjamzito na yeye huyo mwanaume anasema anataka anioe je nifanyeje wakati na wale wawili waliobaki nao wanasema wanataka waniowe na juzi nimekwenda kupima afya yangu nimekutwa sina maambukizi yeyote ukimwi
Kwahiyo unajisifu au?
Kwahiyo unajisifu au?
Mwacheni mwenzenu ndo kaamua kufunguka hivyo jaman,na ni bora amesema ukweli kuliko wale ambao wanajifanya decent while they are just cheaters.
hongera sana mimi mmoja tu nilibakwa na mwanakwaya
Habari zenu mimi ni mschana wa miaka 23 nimeshatembea na wanaume 35 na kati ya hao niliokuwa na mawasiliano nao ni watatu tu na kati ya hao kuna mmoja ndo ananihudumia nikimwambia kitu ananifanyia ila anaishi na mwanamke, na mwanamke wake ni mjamzito na yeye huyo mwanaume anasema anataka anioe je nifanyeje wakati na wale wawili waliobaki nao wanasema wanataka waniowe na juzi nimekwenda kupima afya yangu nimekutwa sina maambukizi yeyote ukimwi
[/COLOR]
Attach Hiko Cheti hapa.
Miaka 23 umetembea na wanaume 35!! Wewe ni changudo au ni mwanamke gani? Midushelele 35 kwa size tofauti utakuja kutosheka na moja kweli!! Ni lazima uwe unatafuta maana moja haikutoshi. Una bahati kweli hukuukwaa!! Tupe siri ya mafanikio hukupata VVU!!! Dunia imekwisha au ni sisi tumekwisha!!!??Habari zenu mimi ni mschana wa miaka 23 nimeshatembea na wanaume 35 na kati ya hao niliokuwa na mawasiliano nao ni watatu tu na kati ya hao kuna mmoja ndo ananihudumia nikimwambia kitu ananifanyia ila anaishi na mwanamke, na mwanamke wake ni mjamzito na yeye huyo mwanaume anasema anataka anioe je nifanyeje wakati na wale wawili waliobaki nao wanasema wanataka waniowe na juzi nimekwenda kupima afya yangu nimekutwa sina maambukizi yeyote ukimwi