Mwanamke sio kiumbe dhaifu, ni kiumbe imara

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,164
15,848
Laiti mwanamke angekuwa dhaifu kama wengi wanavyosema basi jukumu la kujazana katika ulimwengu lisingepenyezwa kwa mwanamke akawa anazaa na tunaongezeka.hili linadhihirisha kuwa mwanamke sio dhaifu.

Laiti kama mwanamke angekuwa dhaifu basi ingekuwa hakuna ndoa za uke wenza kwa baadhi ya tamaduni, lakini kutokana na uimara wao wanawake wanavumilia uke wenza na kufanya hili jambo liendelee.

Mwanaume hawezi hicho kitu ataua mtu kuona mkewe ana waume wawili, ujasiri huo kapewa mwanamke.

Kama ingekuwa mwanamke dhaifu basi kusingekuwepo na uchungu wakati wa kuzaa. Mungu amempa uchungu mwanamke kwa sababu anajua uimara wake na ataweza kustahamili.

Mwanamke angekuwa dhaifu asingeweza kulea watoto na kutizama familia. Jambo hili mwanaume linamshinda hawezi kamwe, lakini mwanamke atalea mtoto atapika huku vyombo viko jikoni na ufagio mkononi. Wamaume huwezi kufanya hivyo.

Kuna mengi yanamfanya mwanamke kuwa imara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msingekua dhaifu pasingekuwepo hizi program Za kuwainua WOMEN EMPOWERMENT, Sijui TAWLA, Mara GENDER BALANCE. Kama Nyinyi Si dhaifu What are the purpose of these Programs ?
You guys are inferior
You nailed it, hakuna kitu mwanamke anaweza kufanya au kusimamia bila kuwepo mwanaume angalau nyuma ya pazia. mwanamke anaweza kukuuliza au kukusubiri uje ufanye jambo ambalo hata mtoto wa chekechea anaweza ku-handle.
 
Mwandishi kama atakua niwa kiume basi atakua ana penda kuvaa ch*pi

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Kutokufanya jambo mpaka aweo mwanaume haina maana ya kua huo ni udhaifu.

Huko ni kutegemeana ambako hata sisi kuna mengine mengi tunawategemea wao wanwake.
You nailed it, hakuna kitu mwanamke anaweza kufanya au kusimamia bila kuwepo mwanaume angalau nyuma ya pazia. mwanamke anaweza kukuuliza au kukusubiri uje ufanye jambo ambalo hata mtoto wa chekechea anaweza ku-handle.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You nailed it, hakuna kitu mwanamke anaweza kufanya au kusimamia bila kuwepo mwanaume angalau nyuma ya pazia. mwanamke anaweza kukuuliza au kukusubiri uje ufanye jambo ambalo hata mtoto wa chekechea anaweza ku-handle.
Taifa la Marekani haliwezi kuthubutu kumpa urais mwanamke
 
Kuwa chombo cha starehe haimaanishi ni dhaifu.hizo ni tafsiri za watu wenye matatizo ya kufikiri.

Na kuwa chombo cha starehe kwa mwanaume ni ishara kuwa sio kiumbe dhaifu.angekuwa dhaifu asingekuwa kiungo muhimu cha kumfurahisha mwanaume.
Unajichanganya
Ulishaandika mwanamke ni chombo cha starehe tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanaowainua wanawake na program zao ndo wanawadhalilisha wanawake kwa kuona kuna ni dhaifu hivyo wanahitaji kutiwa nguvu,waliona hawajiwezi wakaamua kuwawezesha,waliona wameanguka wakaamua kuwainua.

Ila kiukweli ukiangalia utaona kuwa hakuna walipoinua,wanazidisha shida tu kwa hao wanawake.
Msingekua dhaifu pasingekuwepo hizi program Za kuwainua WOMEN EMPOWERMENT, Sijui TAWLA, Mara GENDER BALANCE. Kama Nyinyi Si dhaifu What are the purpose of these Programs?
You guys are inferior

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke ni kiunga muhimu katika maisha ya mwanadamu.

Amekuwa njia ya sisi watu kuongezeka duniani.

Amekuwa kitulizo kiukubwa kabisa cha mwanaume

Amekuwa mleaji wa jamii ya miaka 20 mbele.

Amekuwa anatoa lishe kwa mtoto miaka miwili baada ya kuzaliwa lishe ambayo hata mwanaume hana.

Mwanamke ni kiungo kipana sana katika maisha yetu
Kweli, uimara wa mwanamke ni pale alipoweza kumshauri Adam mpaka wakala tunda. Adam alizidiwa maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom