Kwenye jamii zetu inaaminika kuwa binadamu mwenye jinsia ya kike ni dhaifu sana. Wengi wanaamini hivi kutokana na maamuzi yao mengi wanayofanyaga, kuna muda yanaonekanika si yenye sababu hata kufanyika.
Lakini naomba nikufahamishe ikiwa umepitia somo langu lilopita nimeeleza maana ya udhaifu na upungufu, lakini pia nimechanganua utofauti baina ya maneno hayo mawili watu wanayo yachanganya.
Mwanamke si kiumbe dhaifu bali ndivyo namna ameumbwa automatically naye kujikuta namna amekuwa hivyo. Siku zote mtu mwenye upungufu ni anaweza kuupunguza tu na si kuundoa maana si yeye aliyeutengeneza.
Tambua mwanamke kukosa kuwa mkamilifu kwenye maamuzi ndiyo sababu pekee kuonekanika ni dhaifu, lakini kushindwa kwake huko kufanya maamuzi kama inavyoonekanika si kwamba anashindwa bali ni mtu mwenye huruma na si mtu mwenye kuwaza mbele zaidi bali hutazama wakati husika.
Kwanini nasema mwanamke si dhaifu bali ni upungufu wake tu kuwa namna alivyo? Ni vyema kufahamu hata kutoka kwenye tafiti chache za kisaikolojia mwanamke ni mtu mwenye kuanza kuamua ndipo aje afikirie, ni tofauti ilivyo kwa mwanaume.
Pamoja kuwa kwa sasa kusemekana mwanamke kipaumbele chake zaidi pesa, lakini bado anaweza akachukua pesa hizo akaenda kumpatia mwanaume anayempenda isipokuwa hajiwezi kiuchumi.
Bado wewe pia shahidi kuona hadhi ya fulani ya mwanamke kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye kwa mtazamo wako si wakukubaliwa au kuishi na huyo mwanamke aidha kutokana ni mwenye pesa kuliko mwanaume au hata hadhi yake ya nje.
Haya si madhaifu bali ni mapungufu ya mwanamke, maana yeye ni mwenye kuanza kupenda ndo mana tunasema mwanamke asiyekupenda kamwe hawezi kukupenda bila kujalisha mali, elimu, hadhi au chochote kile cha thamani ulichonacho.
Ni vyema pia ufahamu kama nilivyoeleza kwenye somo lilopita ni kwamba mapungufu huwa hayawezi kuondoka na ndivyo ilivyo kwa mwanamke anayeolewa na mtu asiye chaguo lake, inawezekana asizae na yule anayempenda aliye nje lakini hautaweza kuyavunja mahusiano yao.
Mwanamke mapungufu yake ni msimamo anapoamua kupenda bila kujali huwa ameumizwa mara ngapi ila bado hawezi kuacha kupenda atakapoamua kumpokea mwanaume mwingine. Wale mnaoamini wanawake udhaifu wao ni kuwaeleza maneno mazuri ya uwongo je, katika kuwafuata Kwako wanawake haukuwahi kukataliwa mahali?
Ikiwa ulishawahi basi ni vyema ufahamu kuwa si wote walio dhaifu wanaoyapa zaidi maneno mengi kipaumbele.