Mi nijuavyo ni tabia!
Naona kama ni mwanamke ambaye hapendwi kupitwa na jambo mtaani, ya mtaa huu anayapeleka mtaa wapili na kugombanisha watu!
Lakini anapokuwa na umbile la unene ndipo maana ya ushangigi huswihi zaidi kuliko akiwa na umbo kama la Sweety Radhia!
Mi huwa naona watu huwa wanarefer mwanamke mwenye umbo kubwa,linalopenda starehe na kujiremba kwa saaana
sio unene tu? Yaani linakuwa lijanja janja la mjini lipstick full time na wanja na mahereni,linajua kila kitu full starehe ,mabuzi ya kufa mtu yaaani usipime kwa lishangingidah inabidi nikapunguze haya manyama uzembe:a s-coffee:
heri ya mwaka mpya the boss,
mm picha niliyo nayo ya mwanamke shangingi,ni mnene,anajipenda,wengi wao huvalia magold mengi mengi,pia sio wapole,ni wale wajanja wajanja hivi,hawana aibu huongea kwa sana na pia shangingi mara nyingi anakua hajaolewa na anajua sana jinsi ya kuwachuna wanaume,yaani wengi wao anaweza kuwa anaishi mjini miaka yote hana kazi lkn anamabuzi yake ya uhakika,pia wengi wao wanakua waliolewa wakaachika na wana watoto,ila hata wasichana pia wanaweza kuwa shangingi,mim naona ushangingi sio sifa nzuri.
hujaelewa yaani shangingi ni kama lichangudoa sema linakuwa lipo advanced kidogo.so mke hawezi kuwa shangingiwhich means mwanaume anaweza mwambia mkewe badilika sweetheart...nataka uwe shangingi bana..lol?
Provided mwanaume anataka mkewe ajirembe na kupenda starehe??????lol
heri ya mwaka mpya the boss,
mm picha niliyo nayo ya mwanamke shangingi,ni mnene,anajipenda,wengi wao huvalia magold mengi mengi,pia sio wapole,ni wale wajanja wajanja hivi,hawana aibu huongea kwa sana na pia shangingi mara nyingi anakua hajaolewa na anajua sana jinsi ya kuwachuna wanaume,yaani wengi wao anaweza kuwa anaishi mjini miaka yote hana kazi lkn anamabuzi yake ya uhakika,pia wengi wao wanakua waliolewa wakaachika na wana watoto,ila hata wasichana pia wanaweza kuwa shangingi,mim naona ushangingi sio sifa nzuri.
tazama.. mfano wa magari.....magari mashangingi ni ma land cruiser na ma nissan
yote aghali makubwa na yanatumia pesa nyingi ku ya maintain....
huwezi kuita corola shangingi...lol
unatafutwa dada? Umekula vya watu humu kuna rb yako kimbiaheri ya mwaka mpya the boss,
mm picha niliyo nayo ya mwanamke shangingi,ni mnene,anajipenda,wengi wao huvalia magold mengi mengi,pia sio wapole,ni wale wajanja wajanja hivi,hawana aibu huongea kwa sana na pia shangingi mara nyingi anakua hajaolewa na anajua sana jinsi ya kuwachuna wanaume,yaani wengi wao anaweza kuwa anaishi mjini miaka yote hana kazi lkn anamabuzi yake ya uhakika,pia wengi wao wanakua waliolewa wakaachika na wana watoto,ila hata wasichana pia wanaweza kuwa shangingi,mim naona ushangingi sio sifa nzuri.
which means mwanaume anaweza mwambia mkewe badilika sweetheart...nataka uwe shangingi bana..lol?
provided mwanaume anataka mkewe ajirembe na kupenda starehe??????lol
Shangingi ni vitendo vyake vya kishangingi au niseme nivitendo vya ki**laya kwa nnavyo elewa mie.... kwahiyo hata mwembamba pia ndio hao hao akiwa na tabia kama hiyo...