mwanamke reception babuuuuuuuuuuu

mwanamke reception babuuuuuuuuuuu

[h=6]ET mwanamke reception shepu hata kama hukujaliwaa kwa mchina unapata PESA YAKO TU isha mashauzi anatufarijije tulobapaaaaaa ,,,,,,,,,,,,,[/h]

Aminata! Tutajuaje kama ni ubapa ! Au kinyume chake ?
 
Haya mambo ya mwanamke shepu, mwanamke sura siyataki kabisa siku hizi

Yalinikost sana sana
Niliropoka siku moja " mwanamke sura, makalio kwa mchina"

Afu kumbe neiba wangu nimemgusa 100% duh! aliwaka yule dada kama nimemtukania mzazi
Mie kimyaaaa.

Kila mkiongelea haya mambo ule mkasa unakuja kichwani upya.
 
[h=6]ET mwanamke reception shepu hata kama hukujaliwaa kwa mchina unapata PESA YAKO TU isha mashauzi anatufarijije tulobapaaaaaa ,,,,,,,,,,,,,[/h]


Ha ha mambo Aminata?
Unajua nini?hiyo yote ni kutafuta kuwafurahisha wanaume.Kwa nini asiseme mwanamke ni kuwa mama mzuri kwa watoto wake.
 
Mamito nimepita humu,
No comment at all,
Atakayejua ukweli wa lipi ni lipi ni atakayekuwa baba watoto wangu tu,
Hapi nyuu ya aminata!
 
ET mwanamke reception shepu hata kama hukujaliwaa kwa mchina unapata PESA YAKO TU isha mashauzi anatufarijije tulobapaaaaaa ,,,,,,,,,,,,,

Mwanamke figa original na sio feki ya mkandarasi
 
...Wala usihangaike banaa hii ni misemo tu utasikia mwanamke jicho, mwanamke guu, mwanamke ****, mwanamke kiuno yote tisa 10 ni tabia njema.
unajua kumpooza mtu.........utamfanya mtu ajionee ka malaika sasaivi bure mi simo huko mana majineno kuntu hayo
 
Mwanamke figa original na sio feki ya mkandarasi
umenena vema ..........mambo vipi lakini
nakuona mdo mdo na makid yako manne huku mama mtu anakula lapa taratiiiiiiiiiiiiiiiiibu kwa pembeni yenu............nimeipenda sana hii mkuu
 
ndio walivo ila ka bapa ya nn kugeuka nyuma kukuangalia akajikwaa bure kisa kitu gani.............inatakiwa hata mtu ukijikwaa ukimuonesha mtu kua nimejikwaa koz ya kitu iki na yy anasema eeh kweli...............mana kuna watu akiwa anaenda na kurudi hata huoni tofauti iko wapi
mwanamke unakuta mbele ka nyuma,nyuma ka mbele,yani anaenda ka anarudi.
 
Back
Top Bottom