mwanamke nywele ....lol

View attachment 40044..........mke mwenza style lol

Tatizo la nywele za siku hizi zimejaa za bandia mimi nikiona nywele ndefu tu na mtu hana asili ya mwarabu, mhindi au msomali najua tu hapa tayari. Kwa baadhi yetu sisi wa jinsia tofauti na ya kike huwa hata hizo nywele zenyewe hatuangalii tunaangalia vitu vingine kabisaaaaa.
 
View attachment 40044..........mke mwenza style lol

Halafu Jestina - just out of curiosity. Hivi kwa nini huwa naona kina mama wanajipiga piga makonzi kwenye nywele zao hasa zile ambazo huwa zimerefushwa au zilizo kwenye mfumo wa rasta? Je haya ni mapozi tu ya mtu anapokuwa na nywele za aina hiyo au huwa zina matatizo mengine?
 
zinawasha
 
Wizi mtupu. Nywele gani hizo za kununua? Na kisha zitiwe madawa, kuoga kichwani mwiko! Uchafu mtupu na chawa. Mwanamke ni zaidi ya nywele. Tusidanganyane hapa.
 
mbona mara nyingi nawasikia wanawake wanakisema "mwanamke Kiuno"?
 
Back
Top Bottom