Hahahahaha hahhahhah najikazaje,nielekeze kassie sie kwetu zanzibar kujikaza maana nijile mwenyewe asa ntawezaje?
Dah uzee huu nauendekeza kwa kweli. Kiuno hakizunguki nikiachika sitashangaaUsikiachie banaa, kishughulishe na nyimbo mbalimbali au mazoezi ya aerobics Zumba.
Ngoja nipambane. Najiwekea mziki nakatika mwenyewe chumbaniHhahaahahahhaaa pambana mamaaa, japo wanasema msingi kiuno hiyo sio kweli. Kiuno ni kionjo ndani ya burudani...
Mwanamke nyongaaa.
Ngoja nipambane. Najiwekea mziki nakatika mwenyewe chumbani
mh! tenaa?,,,,kwa nini??Kusema ukweli kiuno changu siku hizi kigumuuuuu
Abeeehhh!!
Ukikizungusha sana inachakaza utamuKusema ukweli kiuno changu siku hizi kigumuuuuu
Ha haaaa chizi kweli we KasieSafiii, ili ukiwa unaucheza mziki unajiachia tuu watu ndo wanaona u fundi kiasi gani wee akaaa huna habari kumbe huko watu wako hooiii hehehehehehee
Ila Mungu alipomuumba mwanamke..... sijui aliwaza nini, ila alifanya kitu kizuri sana. Nafurahi kuzaliwa mwanamke.
Bado unataka kunipa mlo wa mchana?
Bado unataka kunipa mlo wa mchana?
Kumbe, i like it slowUkikizungusha sana inachakaza utamu
Labda expiry date imekaribiamh! tenaa?,,,,kwa nini??