Raha jipe mwenyewe,ingependeza upate wa kukatika nayeHahahahahahaaa kiajee, acha mie niendelee kukatika katulia katuu
Katikaaakatiika katikaakatikaa.
Na mwenye kuwaza ngono anawaza uumbajikuwa bibi na kuwaza ngono ni baraka
Jamani my bibi kasie i miss you so much...jamani unanikoshagaaa sana babu yangu daby umemficha wapi ngoja nimuite ajeaone hayo mauno ya kizeee
Ama kweli ng'ombe hazeeki maini...
Daby
Katikaaaaa!Mnyamwezi wa kuchovya mie, vipi kuna vitambulisho vya ukabila vinatolewa??
Narudi dancing floor kisa kata rhumba, Katikaaakatiika katikaakatikaa.
Hahahahahahaaa jamanii chupi inahusianaje na kukatikaa. Nyonga ndo mpango mzima, sasa uwe umevaa nguo inayoshika kiuno yeebaah inanogajeeKatikaaakatiika katikaaktaiiika....CHUPI HUWA HAIJAWAHI MWACHA mtuu yeyote salamaaa Katikaaakatiika katikaaktaiiika....
Hili li shangazii nalikubaligi, Hivi unaumri gani? lakini poa sio kitu..naile ya kuchezesha tako moja unaweza?
Sanaaa, mwanamke kulegea na Marino kidoogoo. Kwatu kwatuu kwa raha zangu na katikaakatikaa katikaaktaiiika
Kumbe bado kijana 48 ni wakati wako ringa bibieeWeeh mtoto,shangazi yako unaanzaje kumkodolea macho akiwa anakata mauno, utapofuka macho. Nenda kalale mambo ya wakubwa haya looh.
Number 48 accompany me to the end of the year.
akili yako unaijua mwenyeweee