😎😎😎😎 HAYA MADAM ,angalia tu usikate kisigino...kachiri kachiri mpaka chiniNahama viwanja kila leo ila hapa JF ndo mazoezi, na dancing floor yenyewe
😎😎😎😎 HAYA MADAM ,angalia tu usikate kisigino...kachiri kachiri mpaka chini
😀😀😀😀 MAMBO ya miduara hayoooo....Gogo hotel pale kinondoni moja...wananjenje nk...Hhahahahahaa umenikumbusha zamanii, tulikuwa tunaimba kichura chura.... Kichuraa kichuraa saagaa, mume wangu kasafirii saaagaa kaniachia kigomaa saagaa na mtondo wa hariri saagaa
Kichuraa sagaa mtie gomaa kichura saagaa mtie gomaa....
mara chache sana lakini....miaka ya 98/99 hapoHhahahahahaa kumbe ulikuw unaenda paleee...
😛😛😛 mi kiben ten bhana kwako,sema nilikuwa mtundu sana miaka hiyo na napenda sana music,Oooh ok, kumbe nawe ni mhenga mwenzangu.
Hahahahahahaaa he really does....
And when he miss me, he just emoji me and I know what he needs. Naanza kumuimbia huku nacheza kuch kuch otahee hehehehehe
Viuno sasa na madoido kama nanihii hehehehehehee
Kasie Matata.
kasie na kunako 6*5 uko vizuriiiiii?????Raha ndani ya rohoo maisha kwatuuu shurtuu kukatikaa katikaakatikaa
da ningekutafutaaa mpaka nikupate poa banaHapanaaa
Nikiwa na stress Kasie napitiaga nyuzi zako tu.basi nabak natabasam na kujiuliza hivi kuna wakat huwa nawe una stress?????
Hhahahahahhaa nakuwaga na stress sema haimalizi lisaa nshaichomoa stress kwenye akili yangu. Napenda sana kucheka aisee na kutabasamu hiyo ni njia mojawapo ya kuifukuza stress.[/QUOTE/QUOTE]
Ndo mana huzeeki kama yule mzee wa msoga[/QUOTE