Mimi huyoooo, Kasinde wa Matata nilijiita wife material..... mmmhh nachelea kusema huyo alikuwa anayeninakili na si Kasie mie.
Na labda hukuwa unafahamu, Kasie hana mpango wa kuolewa wala hatafuti mume. Am just enjoying life the way it comes ......
Si ulisema kuna jamaa amejiweka kwako ,and he is crazy for you?