Mwanamke Nyongaa.... Katikaaa Katikaaa.....

Mwanamke Nyongaa.... Katikaaa Katikaaa.....

Mungu alinikatili hapo kwenye nyonga
Kiuno hakitikisiki nimejaribu mpaka kwa kungwi ikawa bila bila
Good for you Kasie

Hahahahahahaaa jamanii, usikate tamaa. Unakatika hivohivo mdogo mdogo hata isipofikia kama wao ila kiuno kinaenda.

Kwa upande wangu mie siko mahiri sanaa ila napambana na nyonga zangu nachutama nazungusha nyonga zangu taratiiibuu kama feni....
 
Hili li shangazii nalikubaligi, Hivi unaumri gani? lakini poa sio kitu..naile ya kuchezesha tako moja unaweza?
 
Hahahahah wewe kama mie ingawa bado binti ila nakatika sana
Nacheza miziki yote kasoro vogodolo
Dancehall reggae blues bongoflava etc usiseme,inshort nakata mauno sana
Mwanamke nyonga bana hahahahah

Raha sanaa, saa ingine mziki ukibamba kiuno chenyewe kinaenda.....

Haswaaa..... mwanamke nyonga....
 
Kassie sikiwezagi kuna kipindi uliimbaga hiv hiv nikajikuta kichupa kinataka kumwaga

Hahahahahahaaa poleee, nisamehe buree.
Jikazee tuu maana kubashia hairuhusiwi hapa.
 
Write your reply...mwanaume anaweza kujua kama mdada yupo kwenye mood ya kufanya tendo la ndoa kwa kumwangalia tuu usoni

Hahahahahahaaa hasa mwanaume huyo akiwa amemshiba mwanamke husika.

Napendaga macho ya kutazamwa kimahaba. ..... unajikuta aibu ya kike imejaa usoni na tabasamu juu.
 
duh aise mnisaidie sijaelewa ni nini hicho ushairi au riwaya au tamthiliya? ila kama una uno kama boko kazi unayo kwenye kukatika mana utakata tumbo badala ya uno ila wale wenye uno la nyigu hapo wanateleza tuu shwaaa....!

Hahahahahahaaa umejuajeee, Kasie ana uno kama boko, vinavyokatika ni mabega miguu na kichwa. Tumbo linajikuta linapanda juu na kushuka eehehehehehehehehehehhehehee hatariii.

Ila ndo hata siachi kukatika, Katikaaakatiika katikaakatikaa, kiuno ndiiii ndiiiiii ndiiiiii.
 
Bibi naomba niwe ki Ben10 chako,usiogope kuhonga,Mimi kiben10 mwenyepesa zake.Nataka tu utamu wakizee



Haya katikaaa kataaaa
 
Mi nikajua unatupiamo na kavideo ka miuno yako!

Video ipo ya wimbo wa Dai, na pia kuna member mmoja ameshaweka video ya mrembo mmoja anayarudi mauno hatarii.
 
Bibie nyonga unayo lakini, usije kuwa na shepu za akina pandya af unanadi unenguaji

Nyonga ipo shida shepu ni kama kiboko aka mnyamwezi panda.

Kunengua napenda sana bin kukatika japo kiuno hakiendi, vinavyotingishika hivyohivyo navitingisha burudaani kwa kwenda mbelee.

Katikaaakatiika katikaakatikaa. ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom