Hatar sanaaahii ndio katika yenyewe
I love the way urMungu alinikatili hapo kwenye nyonga
Kiuno hakitikisiki nimejaribu mpaka kwa kungwi ikawa bila bila
Good for you Kasie
Wewe ni mimi wa miaka 20 mbele,hata nikizeeka sitajali ili mradi kukatika kupo damuni basi ntakatika mpaka kiuno kiitike abeeee hehehhee
Kamekazika ndiiii ndiiiiii hahha