Yaani we unamuona mama yako malaika wakati baba yako anamuona shetani? Inakuaje mtu mmoja ana sura mbili tofauti?Wanawake ni mashetani tu,isipokuwa mama yangu tu,chunguza kiundani utambue mwanamke ni kiumbe cha aina gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Time will tell Dear! Ngoja tupigane tuone mwisho wakeNow I understand mkuu. We are stronger ni bas tu sometimes tunajikuta tupo sehemu ambayo sio sahihi.
Kabisa, Kila kitu kitaenda sawa..
Mkuu ndivyo ilivyo,ila kuanzia wewe na wanawake wengine nyoote ni mashetani tuYaani we unamuona mama yako malaika wakati baba yako anamuona shetani? Inakuaje mtu mmoja ana sura mbili tofauti?
Ha haaa wapo wanaotupenda na ushetani wetu. Yaani uliniona shetani mwingine ananiona malaika.Mkuu ndivyo ilivyo,ila kuanzia wewe na wanawake wengine nyoote ni mashetani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bhana ila kwangu nawaogopa sana nyie viumbeHa haaa wapo wanaotupenda na ushetani wetu. Yaani uliniona shetani mwingine ananiona malaika.
Pole, bahati mbaya tutaendelea kuwepo utake usitake.
Vyote ni kosa, hakuna kubwa wala dogo, kosa ni kosa tu.Mungu hakuruhusu tendo la ndoa? tendo la ndoa mwishowe ni kukojoa mbegu. Mbegu zote zile ni watoto. kwa hiyo ni kosa mume na mke kufanya tendo siku zisizo za mimba? acheni kujustify kosa kwa kosa.
Kupiga punyeto ni kosa, kutoa mimba ni kosa kubwa zaidi, maana Mimba inamaana ya mbegu ya kiume+kike +pumzi ya Mungu. sasa hiyo ni kesi ya mauaji.
Acheni, acheni acheni tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha maneno yako makali Mama yako yeye ni wa tofauti na Wanawake wengine?ni mashetani kasoro mama yangu tu...
Hata mkiendelea kuwepo nami nitakuwepo huku nikiendelea kufanya ibada ili msinidhuruPole, bahati mbaya tutaendelea kuwepo utake usitake.
UMENIUDHI SANA HAPO ULIPOSEMA MWANAMKE NI "GUARDIAN ANGEL"Mwanamke:
Anaweza kufanya jengo kuwa nyumba, nyumba ya amani na furaha
Anaweza kukufanya ukafanikiwa na kubarikiwa
Anakupa watoto kwa Majina yako, anabeba majukumu yako kwa watoto wako.
She is a comforter, a Counselor and a Guardian Angel.
Anatabasamu anapokua na Uchungu, na analia anapokua na furaha! Ni jasiri.
Ni muombezi wetu, ni mtunza Siri zetu na madhaifu yetu.
Anavumilia, Analea, ni mwelewa.
Ni MWANAMKE
HESHIMA KWA MWANAMKE, Heshima kwako, Heshima kwako, umethibitisha wewe ni jasiri!
Always
Elli
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine wote Tungekua na mtazamo na mawazo sawa! Unachotaka au Unachowaza wewe ndio kiwe sawa sawa na kila mtu....UMENIUDHI SANA HAPO ULIPOSEMA MWANAMKE NI "GUARDIAN ANGEL"
TENGUA HIYO KAULI KWANZA, ULIONA WAPI MALAIKA MWANAMKE?
Sent using Jamii Forums mobile app