Mwanamke ni kama bunda la karata

Mwanamke ni kama bunda la karata

parable of sower, parable of prodigal son, parable of wise women and stupid women. hii ni parable tu jamani lengo ni kufunza kama kuna mtu kanitafsiri vibaya please mods naomba muufunge huu uzi

Acha uoga mkuu
 
Mkuu umesahau kuconclude unawashaur nini sasa
ndugu comment ninazozisoma kwenye uzi wangu nashauri mods waufunge tu maana mapokeo yamepishana na malengo ya mletaji. kumbe siku ya sherehe sio wote wanapenda pilau wengine wanataka ugali dagaa hata krismas.
 
Sio kwel nyie wanawake hususani wa karne hii ndo mnashida... MNA tamaa sana .mnapenda mteremko ndo maana mnatumiwa na kuachwa yan mnatanguliza maslahi mbele ..mwisho wa siku mnatumiwa mnaachwa
Hamna lolote hayo ya tamaa sijui kupenda mteremko yapo kila upande mkuu.

Kwa hili umenifanya nikumbuke kale kausemi ka kila mwamba ngoma lazima avutie kwake ila ukweli nyie ndio wachakazaji.

Yaani hamjui kudumu na hizo karata.
 
mwanamke ni kama bunda jipya la karata. pindi linapokuwa jipya linakuwa dogo lenye mkusanyiko wa kadi nyingi zilizonyooka vizuri, safi zenye kuvutia. zinapendeza macho na kuvutia wachezaji kiasi cha kupenda kuzichezea muda wote bila kuchoka. bunda la karata ili lidumu kwa muda mrefu katika ubora wake wa awali lazima liwe na wachezaji kwanza wachache na maalum ambao kwa kuzipenda wapo tayari kuzichezea kwa ustaarabu ili zisiharibike wala kupoteza mvuto. tatizo linakuja pale bunda la karata linapoanza kuchezewa na watu wengi muda si mrefu bunda linachakaa na kuvumbia kiasi cha kushindwa hata kuingia kwenye box lake lenyewe zilimotoka, zinapoteza mvuto kuzichezea tena, kadiri ya siku wachezaji wanapungua mwisho wa siku zinaishiwa kutupwa au kuwashia moto maana hazina thamani tena watu wanatafuta bunda jipya la karata na maisha yanaendelea. happy boxing day karibuni tucheze last card hapa.
Wanaume mlivyo makini kuchambua wanawake mgekuwa hivyo na kwenye nyanja nyingine kama kwenye uchumi na kujiongezea kipato mngekuwa mbali sana.

Ebu badilikeni jamani mwaka huu unaonaza nyuzi za maendeleo ziwe nyingi tuone kama tutaweza kulainisha kidogo hivi vyuma.
 
Sasa hapo chanzo cha kuharibu ilo bunda la karata ni nani. Sababu nyie ndio mmejaa ulaghai na sio waoaji ukiwa na huyu leo kesho unatafuta mwingine hamuoni kwamba nyie ndio chanzo cha kuchakaza hizo karata

Muwe mnatulizana basi na kuridhika na mmoja angalau hizo karata zisichakae.

Leo mwanamke kawa bunda la karata. Lol

Kipindi hiki mtaitwa kila majina hakyanani.
 
parable of sower, parable of prodigal son, parable of wise women and stupid women. hii ni parable tu jamani lengo ni kufunza kama kuna mtu kanitafsiri vibaya please mods naomba muufunge huu uzi
Teh unakaa juani kumbe mwenyewe barafu....
Nimekusamehe mie
 
Wanaume mlivyo makini kuchambua wanawake mgekuwa hivyo na kwenye nyanja nyingine kama kwenye uchumi na kujiongezea kipato mngekuwa mbali sana.

Ebu badilikeni jamani mwaka huu unaonaza nyuzi za maendeleo ziwe nyingi tuone kama tutaweza kulainisha kidogo hivi vyuma.
ok umeeleweka, heri ya mwaka mpya 2018.
 
Usamehewe bure kabisa maana mama yako pia ni mwanamke.
 
Wanawake wanawaumiza sana vichwa aisee haipiti siku bila uzi wa kuwahusu kha! Poleni sana
 
Hebu tupunguze kukandamiza hii jinsia. Na wao ni binadamu pia. Tuuanza mwaka kwa mabadiliko, yawetekana tunaowasimanga na kuwasema hatujui tunawatengenezea nini. Sisi kesho tutakuja kupata watoto wa kike utajitahidi kumfundisha maadili lakini kumbuka atabaki kuwa mwanamke yule uliyemsimanga.

Na nyie wanawake hebu mbadilike. Kuweni na macho ya kuona mbele na mbali zaidi. Msijieahisishe sana na ndio maana zinakuja thread kama hizi. Tupeni changamoto ya maisha turudishe ule uanaume na uanamke wa zamani.

Hii ni opinion yangu na wala siyo fact. Ukiipenda chukua usipoipenda iache.
 
hakuna mwanadam anaejua ukweli kuhusu mwanamke ila MUNGU tu,hata huo hapo juu ni uongo tupu maana ni ''ukweli wa mwanadam katika akili zake'';
 
parable of sower, parable of prodigal son, parable of wise women and stupid women. hii ni parable tu jamani lengo ni kufunza kama kuna mtu kanitafsiri vibaya please mods naomba muufunge huu uzi
Salute You, Comrade.

Tunaosoma between Lines tumeelewa. Uzi wako umekaa kifasihi sana. Kama ulikimbia umande hutoambulia kitu.

Pia mleta mada ni mbaguzi wa IQ. Kama IQ yako ni moderate, profound au severe basi hutoambulia kitu. Utaishi kumtusi mleta mada bure kumbe tatizo liko kwako Mfasiri/ Mtafsiri na siyo mwandishi. Ipo falsafa moja inasema "Tatizo siyo mwandishi, tatizo ni mtafsiri".

Correlation is not insane. Kuandika kiunganishi "Ni kama" ndiko kusema mwandishi kawatusi wanawake?, hana adabu na kadhalika?. Kwani kazi za Tamathali za semi ni zipi?.

Kuna msanii (Roma Mkatoliki) aliimba "Wanawake ni kama vocha, huwajui mpaka uwakangue", Je BASATA haikuliona hilo?. Jibu ni kwamba waliliona na wanafahamu kazi za sanaa. Ule ubeti siyo tusi kwa wanawake. Ndivyo kazi za fasihi zitutakavyo.

Mwanabodi nasssen , hakuna wanawake wanaochezewa na mwanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja?. kimange naye anadai hukuwashauri. Je ndani ya bandiko hakuna ushauri?. Msomaji aende extra mile. Ushauri kwa wanawake umefichwa ndani ya Karata mpya. Ajitunze, asikubali kuchezewa na ajiheshimu pia.

karibuni. Tudodose na kusailiana.
 
MUNGU AKUBARIKI SANA, UMERUDISHA AMANI YA MOYO ILIYOANZA KUPOTEA LEO BOXING DAY. HERI YA MWAKA MPYA 2018.
 
Mkuu kuwa na heshima kwa wanawake...nani ambaye hajaletwa na mwanamke hapa duniani? kwa nin uwafananishe na box la karata? Mama yako ni box la karata? stupid mind...
Nadhani karatahiyo kachezea 1 na ndo mana imedumu na imemleta mwanzisha huu uzi pendwa
 
Back
Top Bottom