Mwanamke ni chombo cha starehe(?)


Hongera, sasa umeshakua.

Cha kuongeza katika ufunuo wako ni kwamba pesa utakazopata usizitumie kwa mwanamke. Zitumie kwako mwenyewe na wanawake watakuja tu maana wataona unazo. Jinunulie nguo nzuri, jinunulie gari zuri, panga nyumba nzuri (au jenga kabisa kama hali inaruhusu). Madem wakishaona hivyo wanakuja wenyewe, na uzuri wao ni kwamba wakishakuona una harufu ya pesa huwa hawaombi hela kwanza. Anakupa mchezo hata mara mbili tatu ndo analeta bili.

Akileta bili sepa. Ukitaka mwanamke asikupotezee hela yako usiweke kambi. Pesa mpatie mwanamke atakayekuzalia mtoto tu. Na zawadi yake ya kwanza mrudishie urembo wake.
 
Bonge la point. Umeongea vzuri tena usiwe nae mmoja maana hawachelewi kubadilika hawa viumbe


 
Hata mwanaume ni chombo Cha starehe kwa mwanamke .mwanaume unastarehesha mwanamke wakati tendo .au wewe ufika kileleni pekeako?na Kama hivyo usioe utastareheshewa!ukiipenda familia yako na mwenza wako hiyo ni starehe nyingine kwa mwanamke.sex inastarehesha pande zote. furaha na upendo unastarehe wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke ni chombo cha starehe.

Ukitaka kuamini hivyo angalia mwanamke anaweza kubakwa huku yeye anaumia basi anaebaka anapata starehe.

Unaweza kuniambia kwa nini mwanamke anaweza kuumia wakati huo huo akawa mwingine anastarehe kuoitia mwanamke huyo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke ni chombo cha kutustarehesha na kutupa raha na wala sio chombo cha kutuudhi na kutupa dhiki.


Mada yako inayo mashiko lakini neno "chombo" ulilotumia linamdhalilisha mwanamke, kumbuka hao ni mama zetu na sio heshima kuwaita chombo mfano Sufuria au sahani au Chupa ya kuwekea gongo.

Mwanamke, to be specific mke, humpatia utulivu mumewe.
 
Mada yako inayo mashiko lakini neno "chombo" ulilotumia linamdhalilisha mwanamke, kumbuka hao ni mama zetu na sio heshima kuwaita chombo mfano Sufuria au sahani au Chupa ya kuwekea gongo.

Mwanamke, to be specific mke, humpatia utulivu mumewe.
Neno chombo ni udhalilishaji kwa mujibu wa nani mkuu ?

Wapi umerejea ambapo panasema neno chombo ni udhalilishaji ?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno chombo ni udhalilishaji kwa mujibu wa nani mkuu ?

Wapi umerejea ambapo panasema neno chombo ni udhalilishaji ?



Sent using Jamii Forums mobile app


Unaweza kumwita mama yako mzazi "chombo" au yeye sio mwanamke??.

Ni moral index na common sense iliyomo ndani ya utambuzi wa mtu mwenyewe ndiyo inayotumika.
 
Mama yangu pia ni chombo cha starehe kwa sababu sioni sehemu yeyote yenye marejeo ya kimaadili mema ikosema kuwa neno chombo ni udhalilishaji.

Sasa kama common sense yangu inaniambia kuwa neno chombo sio udhalilishaji bali ni neno la kumpandisha mwwnamke kuonesha kuwa ni mtu muhimu katika kukamilisha starehe ya mwanaume unasemaje hapo ?

Alafu wale wanaomuita mwwnamke jiko unadhani wanakusudia jiko kweli lile la mkaa au wametumia ubunifu tu kuonsha thamani yake ?

Jiko si ni kifaa tu kama vile sahani vinavyo play kazi mbali mbali ?

Hiyo common sense watu wote wanayomoja ama kila mtu ana yake na kufahamu kivyake ?
Unaweza kumwita mama yako mzazi "chombo" au yeye sio mwanamke??.

Ni moral index na common sense iliyomo ndani ya utambuzi wa mtu mwenyewe ndiyo inayotumika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mkuu Safuher, hapo utakuwa unapotosha habari, mwanamke hajapatwa kuitwa jiko bali mke ndiye huitwa jiko kwa "methali", yaani unaposema fulani kapata jiko maana yake kapata mke/ ameoa.

Sasa huwezi kamwe kumwita mama yako mzazi "jiko" katika sense hiyo kwani utakuwa umekosa heshima kabisa ni katika hali hiyo hiyo huwezi kumwita mama mzazi "chombo", yaani uwaambie watu mbele ya mama yako mzazi kwamba; "huyu ndiye jiko langu au huyu ndiye chombo changu cha stsrehe" 🤣 na changudoa naye atakuwa chombo cha nini??.

Wanawake ni watu kama wewe na wanastahili heshima na sio moral kuwaita "vyombo vya starehe" kama jinsi walevi wa pombe wanaposema pombe ni kitu cha starehe.
 
Sasa mkuu mama yako na mama yangu ni vyombo vya starehe vya baba yangu na baba yako.

Maana iko wazi kuwa mwanamke ni chombo cha starehe maana yake mama yangu ni chombo cha starehe kwa baba,dada yangu ni chombo cha starehe kwa mumewe,mimi atabaki kuwa dada yangu.hiyo ndio maana yangu.

Kwa hyo hiyo kauli ya kuwa mwanamke ni chombo. Cha starehe mafhum ni kuwa chombo cha starehe kwa mwanaume au mume wake na sio kwa kila mtu.ila maana ni ile ile kuwa mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume.

Kama ambavyo mama yako huwezi kumuita jiko badala yake utamuita mkeo,basi ndivyo ambavyo mama yako huwezi kumuita chombo cha starehe badala yake utamuita mkeo hivyo.

Labda hukuelewa.

Kwa hiyo hapa tunaangalia je kumuita mkeo jiko sio kumdhalilisha ?
.na kwa nini isiwe kumdhalilisha kama ambavyo unadai kumuita mwanamke chombo kumdhalilisha ?

Chombo na jiko zote ni sifa ambazo mwanaume anazitumia kumuita mtu wake kimapenzi na sio mama yake au shangazi yake.

Ukisema common sense inaonesha kuwa ni udhalilishajesasa kama common sense yangu haioneshi hivyo unasemaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mkuu Safuher, mada yako inasema; "MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE"----- labda uniambie leo umetunga methali yako mpya ya kiswahili kuhusu wanawake kama methali ya mke ni jiko.

Methali ya mke ni jiko ilikujaje??, ilikuja kutokana na mazingira ya wanaume wanapokosa wake basi huwa wanakula sehemu mbalimbali na mara wanapopata wake basi uhakika wa kupata chakula nyumbani unakuwa ni mkubwa kwakuwa huyo mke atakuwa akimpikia huyo mume ndio maana mke akaitwa "jiko"--- katika hiyo methali yako umesema mwanamke ni CHOMBO na mbaya zaidi ukaongeza maneno "CHA STAREHE", hivi ni mwanamke gani hata changudoa ukimwita yeye ni chombo cha starehe atakubali??!!.

Ukishasema neno "mwanamke ni chombo cha starehe", hiyo ni hatua ya mwanzo kabisa ya UDHALILISHAJI kwa wanawake, yaani hapo umamfanya mwanamke kama ni chombo chako cha matumizi yoyote uyapendayo na hiyo imekuwa ni njia moja ya kudhalilisha wanawake katika jamii.

Mwanamke chombo cha starehe, ni sawa na useme COMFORT WOMAN, sasa angalia maana ya comfort woman;

"A woman or girl forced into being sex slave".

Mimi naomba wanawake wa humu jf waje wajitetee wenyewe tuwasikie wanasemaje!!!?,

faiza Foxy, Sky Eclat nk. Njooni huku mnisaidie kwani nyie ndio wahusika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…