Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Thinking abt youuu.
NB
Not you mleta uzi
 
Badala ya kumshauri na kumfaraji zidi ya ubaya aliotenda mwanamke mwenzenu nyie ndo kwanza naona mnamkandia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kutongoza atongoze mwenyewe na kuhonga juu sasa sijui msiba wa nini haaa haaa , maranyingi wanaume huanza wenyewe, sasa mwanamke akija huja na greda kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…