Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!


mkuu kila kitu kikizidi ni kero mwenza wako yeyote awe wa kike au wa kiume akiwa mitandaoni 24/7 lazima ujisikie vibaya. . hivyo katika maisha ni vizuri kuelewana na kusikilizana. kama mtu anakosea ni vizuri kukaa nae na kuongea na taratibu, ukisema kuacha na kusepa utajikuta unakuwa na msururu wa watu. coz kiubinadamu hakuna aliyekamilika kila mtu anamapungufu yake na pungufu la huyu sio la yule.
 
Nipate hasira za nin na maneno yako kaa maji ya kilimanjaro ukiona unahasira jiondoe maana utaharibu cku yako bure
thubutu siku yangu ipo poa. tubishane kwa hoja. ukiniharibia yangu hata yako itaharibika tu.
 
ukijaji kihivyo inabidi ukaoe kijijini kwenu na usimlete mjini maana atakuwa kama hao unaowaongelea......mke mwema anatoka kwa bwana.
 
Nipate hasira za nin na maneno yako kaa maji ya kilimanjaro ukiona unahasira jiondoe maana utaharibu cku yako bure

kama huna hasira mambo ya gesi yanatoka wapi? kwani hapa tupo mtwara? hapa hakuna gesi hapa kuna hoja tu. toa hoja inajibiwa na ndio uungwana.
 
pole yake........ DEMBA ngoja nikuache nae

haaa haaa huko unakokwenda ukiona kitu kizuri uniite. tushinde mtandaoni ikiwezekana tulale humuhumu. mungu ambariki muanzilishi wa JF tunajifunzapo mambo mengi humu na kupanua uelewa.
 
mkuu unadhani wake zetu zamani walikuwa haangalii mitandao(ila sio hii ya facebook na instagram)tatizo mitandao wanayoingia now days na watoto wa dotcom na wasio na maadili!!!!siku hizi eti hata bongo wametengeneza website za ngono/AKIINGIA HAPO MMU ndio usiseme anakutana na lile janamke linalosapoti umalaya kwa wanawake kwa kigezo eti kupinga mfumo dume!!!!!afu na mijanamke kibao iliyoshindwa kuwa watu wema na bora ambao wameamua kuharibu wengine either kwa kujua au kwa kutokujua!!miatandao hata kama hana intention ya kusoma ujinga ila akiclick tuu hapo kwenye new posts kila saa anakutana na vichwa vya habari vinahusu tuuu kuliwa 0713,0714,0716 na mafumanizi hatakuwa interested but ipo siku ataona ngoja nisome(human nature sitaki mtu apinge)mara bahati mbaya akiwa mmoja wa wale watakaokuwa interested basi tena kila siku atakuwa anaosma hayo madudu mara atataka kujaribu labda baada ya kuongelea sana um,alya na kuona kitu cha kawaida mara kila cku anaona flani kafumaniwa mara flani kafumaniwa mwisho uoga unamtoka wa kufamaniwa anaanza kuamini kucheat ni lazima na kufumwa ni bahati mbaya!!!!!si unajua siku hizi watu kutoka hata kwa magazeti sio ishu tena!!!!too much of enithing is hamfulu!!!!!kwa hiyo hizi social kuna ujinga mwingi mbaya zaidi kuingia kwenye yale makundu(magroup) yao ya kiseng,e yale afu wanadiscus use.nge tuu!!sitaki kabisa kusikia wanawake wa namna hii
 
Na hii sasa kaisoma...ha ha ha ha ha,lazima avimbe bichwa kua kakuweza hapa

i live under assumptions, na assume mimi ni wake pekee, na assume ninachompa hawezi kukipata kwa kidume mwingine yeyote, na hivyo naendelea ku assume hii comment hajaisoma!
 
kuna wanaume wako very addicted na internet hadi ndoa zao zinakuwa mashakani. muda wote anachat km sio bongo5, JF basi yuko FB kusoma magazeti na zeutamy ndo usiseme hadi wanasahau majukumu yao kwa wake na watoto
 
Kwa utafiti mdogo nilioufanya kwa marafiki zangu(classmates) wa kike niliokuwa na membership ktk mitandao ya kijamii, karibu wote after marriage involvement yao ktk social networks ilipungua sana.
Hivyo inaonekana kuna tatizo fulani ktk wanawake wanaojihusisha na social networks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…