Mwanamke na kufika kileleni

Mwanamke na kufika kileleni

stk umefikiria nn kwanza mpaka kuleta mada hii. hebu nijibu kwanza

Kuna malalamiko menigi sana kuwa wanawake hawafiki kileleni, ni kweli hawafiki lakini lengo ni kutaka kuonesha wote, mwanamke na mwanaume wanachangia katika tatizo hilo....
 
Wanawake wengi wanaficha ukweli, huo ni "uhanisi" wa kike. Mwanamme kaumbwa kumfikisha kileleni mwanamke, kama mwanamke hafiki kileleni basi ana matatizo, zingine zote ni sababu tu.

sure, wachache sana hawafiki kileleni kwa sababu za uhanisi wa kile...but majorty hawafiki kwa sababu wanaume wengi wanawahi kumaliza, utamkuta mwanaume anaweza hata kufanya six times, lakin zote anamaliza withini five minutes, huyu hawezi kumfikisha mwanamke kileleni no matter what...there is the way you can prolong sex without ejaculation....another day if God wishes
 
Mimi nilidhani kufikia orgasm ni joint effort?
Ila nakubali Kuwa hiyo ni sexual dysfunction ya kike.

You dont have to think in that way, its true that kuna tatizo kama hilo, but majority of women to not reach orgasm because they dont participate fully or their men reach ejaculation too quickly. Try to find the solution if you have that kind of problem.
 
zomba mbona unatutukana ss wanawake hayo ni maswala ya kukaa na kujadiliana ili kujua muyapatie vp ufumbuzi wake. sio kutulaumu ss wanawake inapaswa utuombe msamaha kakaangu

Sorry... Plz try to answer me as precisely as you can.....
How many times you have been ready in doing sex with your partner? And how many times you haven't been ready but you did with him.....Can you try to compare the PLEASURE OF SEX you FELT IN THE TWO SITUATIONS?
 
ORGASM Aina gani labda,maana some folks nimegundua mnachanganya kwa kuongea tu in general,u guyz u need to be specific mnapoongelea orgasm,zipo orgasm aina kama tano ninazozijua mimi:

1:Clitoral orgasm

2:G spot orgasm

3:Simultaneous orgasm

4:Multiple orgasms

5:Squirting orgasm

Sasa ipi kati ya hizi ......................mimi ntarudi badae kama ntahitajika narudi kwenye siasa kwa sasa!
 
Yapo mengi kuliko hata haya ambayo umeyataja....but the common orgasm for females is Clitoral orgasm. Changia sasa
 
Asante kwa somo,namshukuru sn coz he alwayz make me feel a real woman!
 
Yapo mengi kuliko hata haya ambayo umeyataja....but the common orgasm for females is Clitoral orgasm. Changia sasa

Ok so in ur thread u mean clitoral orgasm sio, naona kama kila ki2 umemaliza,sijui nichangie nini labda,lakini kwa kuwa sasa umekua specific kwamba clitoral orgasm ndio ambayo umejikita nayo katika thread yako,pengine tu niseme machache kuihusu hiyo,kwanza nikiri kwamba ni kweli kabisa hiyo ndio inayofahamika na wananchi wengi kuliko hizo nyingine nne ninazozifahamu mimi japo ni kweli zinaweza kuwa zaidi ya hizo but sizifahamu.

Naamini kila mtu ama wengi atleast mnajua kwamba mtoto wakike anaiexperience aina hii ya orgasm from clitoral stimulation usually kwa kutumia vidole vya mtoto wa kiume,tongue au hata toys,wanaume wengi kwa kukariri mambo tu wanaishia kuwapa wapenzi wao aina hii ya orgasm ambayo kwa wanawawake wengi ni ya kawaida sana maana wanakutana nayo mara zote,u guyz lazima muwe wabunifu na kuja na mambo na tecniques tofauti tofauti on how to give woman an orgasm so intense ana so powerful kiasi cha kumfanya mwanamke awe so addicted to you,kubwa kuliko zote ni kumfanya mwanamke aweze ku squirt,ukiweza hiyo utaumaliza mchezo wa kumpagawisha demu mapema mno...!

Naona niishie hapo nisiharibu thread yako ambayo imejikita zaidi kwenye the most common orgasm for females i.e.clotoral orgasm.All da best pipo,narudi zangu kwenye siasa,nikihitajika ntakuja tena.
 
Mkuu hebu rudi tena kidogo kabla hujafika kunako siasa ambazo si maisha kama ilivyo hapa.Naomba nijuze kidogo hapa kwenye haka kamchezo "squirting" kamusi yangu kwenye keyboard haijakamilika pls.

Ok so in ur thread u mean clitoral orgasm sio, naona kama kila ki2 umemaliza,sijui nichangie nini labda,lakini kwa kuwa sasa umekua specific kwamba clitoral orgasm ndio ambayo umejikita nayo katika thread yako,pengine tu niseme machache kuihusu hiyo,kwanza nikiri kwamba ni kweli kabisa hiyo ndio inayofahamika na wananchi wengi kuliko hizo nyingine nne ninazozifahamu mimi japo ni kweli zinaweza kuwa zaidi ya hizo but sizifahamu.

Naamini kila mtu ama wengi atleast mnajua kwamba mtoto wakike anaiexperience aina hii ya orgasm from clitoral stimulation usually kwa kutumia vidole vya mtoto wa kiume,tongue au hata toys,wanaume wengi kwa kukariri mambo tu wanaishia kuwapa wapenzi wao aina hii ya orgasm ambayo kwa wanawawake wengi ni ya kawaida sana maana wanakutana nayo mara zote,u guyz lazima muwe wabunifu na kuja na mambo na tecniques tofauti tofauti on how to give woman an orgasm so intense ana so powerful kiasi cha kumfanya mwanamke awe so addicted to you,kubwa kuliko zote ni kumfanya mwanamke aweze ku squirt,ukiweza hiyo utaumaliza mchezo wa kumpagawisha demu mapema mno...!

Naona niishie hapo nisiharibu thread yako ambayo imejikita zaidi kwenye the most common orgasm for females i.e.clotoral orgasm.All da best pipo,narudi zangu kwenye siasa,nikihitajika ntakuja tena.
 
Stumbled upon this quote by one Carlos Ruiz in regard to female orgasm. He says man heats up like a lightbulb red hot in twinkling of an eye and cold again in flash. The female on the otherhand heat up like an iron, slowly over low heat like tasty stew. But then when she has heated up there is no stopping her!
 
ORGASM Aina gani labda,maana some folks nimegundua mnachanganya kwa kuongea tu in general,u guyz u need to be specific mnapoongelea orgasm,zipo orgasm aina kama tano ninazozijua mimi:

1:Clitoral orgasm

2:G spot orgasm

3:Simultaneous orgasm

4:Multiple orgasms

5:Squirting orgasm

Sasa ipi kati ya hizi ......................mimi ntarudi badae kama ntahitajika narudi kwenye siasa kwa sasa!

duh aisee
 
Uzi una ukweli na umetulia
kWENYE MAKOSA TUTAJITAHIDI KUPAWEKA SAWA
 
zomba mbona unatutukana ss wanawake hayo ni maswala ya kukaa na kujadiliana ili kujua muyapatie vp ufumbuzi wake. sio kutulaumu ss wanawake inapaswa utuombe msamaha kakaangu

Sijatukana ndugu yangu.

Huo ndio ukweli. Kuna wanawake wengi hawafiki kileleni kwa sababu za kisaikolojia au za ki baiolojia na zote hizo huwa ni "uhanisi" wa kike. Ni tabu wengi kukubali hilo lakini ukweli ni kwamba 90% ya wanawake wanaochelewa au wasiofika kileleni hutibika kwa urahisi sana. Pale tu watapoamua kuondoa haya zao na kuwaona wataalaam wa hizo tiba.
 
Back
Top Bottom