Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Nimekuelewa mkuu. Kwa hiyo baba wa mtu akianza ujinga ujinga ndio nishaumia tayari!
Absolutely....
Nimekuelewa mkuu. Kwa hiyo baba wa mtu akianza ujinga ujinga ndio nishaumia tayari!
Leo kuna watu mnadhani ukishakuwa na kabalance kidogo bank, ukiendesha vogue,nyumbani ukiwa mazaga kwenye fridge na kajumba mjini baaas ni future...Lemme tell you,kuna wanawake wana uwezo pia, taasisi ya ndoa inahitaji zaidi ya hayo....mapenzi ni ujinga ujinga kiongozi, wenye ndoa stable ni wale wajuvi wa ujinga ujinga, unachoita future ni by the way tu!
And i guess the "disparity between innocent and guilty lies with doubts,suspicion and powered by scrutiny"
If we dont have doubts, suspicions and lastly scrutiny then we are in no position to tell the differences between innocent and guilty!!!!!
Bibi mzima sana....siku hizi anasumbua sana ujue...anadai kwamba tustaafu kila kitu..lol!!
Anakusubiri uje kupata shule ya bure!
Nimekuelewa mkuu. Kwa hiyo baba wa mtu akianza ujinga ujinga ndio nishaumia tayari!
Kustaafu kila kitu itakuwa ngumu
Nahitaji shule tena ndefu.
Nitakuja.
Halafu hiyo kitu naichukia kama uko.ma!
Usiwe na shaka, kila kitu kinawezekana. Unaweza tu kuvuka mtu ukishaufikia...
Kwa sasa wewe tuachie sisi tustaafu au tustaafishwe.....Kwani mwenzio keshasema kuwa liwalo na liwe...!
Kwani na wewe ni loya??
Haya majitu huwa yanatemwa na watu hiyo profession ambayo bado inatumia lugha ya karne ya kwanza AD!!
Sentensi ya mwisho mimi apana elewa Babu.
Mimi sio loya babu basi tu walimu fulani sehemu fulani walikuwa kazi yao kutupa mi book review tu na kila uchao presentation tu yeye kazi yake kukosoa na kukupa refference nyingine ya ku counter argue presentation uliyokwishafanya!!!!!
Akisha hapo akupe article published ui criticize na theory anakuchagulia yeye za kufanyia hiyo kazi!!!!!!!
No wonder you stand out from the rest.
Not just simple... wise and very smart. I salute you.Mimi ni simple and humble retired officer bwana......
Sina chochote za kuwazidi wadau wanaotesa kwa zamu now!
Not just simple... wise and very smart. I salute you.
Those were brilliant teachers....
Nitakutafute unipe hints kwani natafuta shule za wajukuu zangu....
Wewe Karucee......
Una nini na Babu wewe?
Ndo maana siku ile nilikwambia kuwa, ukitaka kumuua mwanamume, mshushe thamani...ila kwa sifa kiduchu kama hii (hata kama siistahili!!), haki ya nani umeniongezea miaka kibao ya kuendelea kuguguna pension!!
Ngoja niende kumsimulia bibi jinsi ulivyonipaisha....
Halafu huko kwingine Zinduna naye kaniweka hewani hapa....
Najihisi kupaa kabisa....
Thanks for the song babu. Ila nilichokisema comes straight from my heart.
Ushinde salama na ubarikiwe na bibi pia.