OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
At the end of the day if someone hasnt given you reason to doubt them then trust should prevail.
Ooonh yeah with the mind that "volatile liquids" need air tight containers!!!!!!!
At the end of the day if someone hasnt given you reason to doubt them then trust should prevail.
Inaonekana wewe ni sikio la kufa. haya kamuoe huyo mwanamama mwenye mtoto wa mwanaume mwenzio. Omba wewe usiwe na matatizo ya kizazi.
Nimepitia kila post yako na zile za wachangiaji, na ukweli ni kwamba sijapata jibu. Ila kwa kuwa mimi ni mtu mzima, na mwenye uzoefu na mambo ya mahusiano (specifically ndoa) kwa zaidi ya muongo mmoja, naweza kuelewa bila hata kuhitaji jibu lako.
Ndiyo maana nikakuomba usijibu ila ufanye internal reflection (ikiwezekana fanya meditation) ili upate jibu ndoni ya moyo wako. Ukiweza kujijibu swali hili, "kwa nini nimeuliza maswali haya"? Basi utakuwa umeshinda....Na babu keshakupa baraka zote usonge mbele!
Ila mkuu huyo aliyezaa naye hawakufunga ndoa.
Ooonh yeah with the mind that "volatile liquids" need air tight containers!!!!!!!
Hahaaaa. Lmao.
At the end of the day if someone hasnt given you reason to doubt them then trust should prevail.
Mmmmh ila mkuu hamna wanawake walioachwa na watoto wao wanatanga tanga tu.. na ukiwauliza wanakuambia walibeba mimba ili kuwanatisha wapenzi wao!!. Ila pia watoto ni majaliwa ya Mwenyezi..
Shkamoo Babu DC
Mkuu kwani umeshakuwa scraper kiasi kwamba umekosa sifa za kujitwalia binti ambaye hakuwahi kuzaa na mwanaume mwenzako? Kuna faida na hasara za kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine!
Faida ni kwamba umeshajua kuwa ana uwezo wa kuzaa kwa hiyo kama huna matatizo ya uzazi mnaweza kupata watoto sita kwa miaka saba kama jamaa mmoja humu ndani!
Faida ya pili ni kwamba ana experience kwenye masuala ya unyumba kwa hiyo atakuwa mkufunzi wako...
Kabla sijasema demerits labda nikukumbushe tu kuwa wanaoolewa kufuata future kwa waume ni hiki kizazi cha digital lakini real women hawafuati future kwa wanaume so ukileta uvivu kitandani na kukosa ubunifu (of which mwenzio ni experienced) tegemea mkeo kusaka hizo 'future' kwa wenzako unaodhani umewazidi 'future'
Haya mkuu...
Ubarikiwe sana....
Ni upepo tu huu kaka...ukiwa mbayu wayu lazima utapita salama bila kuwa na haja ya kukimbizwa ICU!
hahaaaa. Ya kweli hivyo. Mi sijambo. Bibi je?Ni shikamoo ya kweli au zile za kule kwetu Makorara (uchokozi...lol)!!!
Mimi sijambo, wewe je?
Mimi siamini katika kufanya mapenzi kabla ya ndoa. haya yoote yanatokea kwa sababu watu wanakimbilia kufanya mambo ya ndoa kabla hawajaingia katika ndoa.
Kwakifupi, uzinzi ndio chanzo cha yote hayo. watu tunatakiwa tuache uzinzi.
'Future' means what?
and thats my theory, "u r innocent until proven guilty."
Kuna mtu anaitwa @Block City vipi ni ndugu nyie?
Leo kuna watu mnadhani ukishakuwa na kabalance kidogo bank, ukiendesha vogue,nyumbani ukiwa mazaga kwenye fridge na kajumba mjini baaas ni future...Lemme tell you,kuna wanawake wana uwezo pia, taasisi ya ndoa inahitaji zaidi ya hayo....mapenzi ni ujinga ujinga kiongozi, wenye ndoa stable ni wale wajuvi wa ujinga ujinga, unachoita future ni by the way tu!
hahaaaa. Ya kweli hivyo. Mi sijambo. Bibi je?