Mwanamke mwenye aibu

Mwanamke mwenye aibu

Write your reply...dah Nina tatizo kubwa sana la aibu japo mie sio mwanamke yani naona aibu hata kukoment hapa yan hata nikijamba mwenyewe najionea aibu embu njoo pm unipeushaur watu wasiuone
We huna bwana kha
 
Kuna mtu anataka amuache eti kisa ana aibu
Kama kweli anataka kumuacha mpenzi wake kwa sababu ya aibu, naamini kabisa hakumpenda kwa dhati.

Kuna alilolitafuta na kalipata sasa anatafuta sababu.

Kwa sababu unapoamua kumpenda mtu haimaanishi kwamba hana mapungufu isipokuwa uwe teari kuwa mvumilivu.

Sifa moja wapo ya upendo ni kufunika makosa ( sasa kwa aibu sidhani, hapo kuna mengine ).
 
nimeshangaa kweli arams unawezaje kumuacha mtu because of aibu
 
Kama unaandika kwa kiswahili basi andika kiswahili tu usichanganye mara kiswahili mara kingereza, siyo ujanja ni ujinga
Jamani nimepita humu somewhere nimekuta a guy analalamika he has a very shy type of girl.....now guys wenye hiyo type of girl be patient with them Mimi ni hiyo type ya girl Kama sujakuzoea ila nikikuzoea basi people always say to my friends why is she so shy..... So quite and their answers is always SHE IS NOT jaman mungu katuumba tofauti wengine tuna aibu na wakimya kwa watu ambao hatujawazoea Sana hiyo siyo sababu ya kuachana na mpenzi wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom