nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 571
- 843
- Thread starter
- #21
Yap Niko tofauti mwanzo nnapomuona mtu na nikimzoea mtuila baadae mwendo mdundo kama sio ww vile.
Yap Niko tofauti mwanzo nnapomuona mtu na nikimzoea mtuila baadae mwendo mdundo kama sio ww vile.
Nyuma ya aibu yenu huwa mnakuwa na mambo mengi sanaJamani nimepita humu somewhere nimekuta a guy analalamika he has a very shy type of girl.....now guys wenye hiyo type of girl be patient with them Mimi ni hiyo type ya girl Kama sujakuzoea ila nikikuzoea basi people always say to my friends why is she so shy..... So quite and their answers is always SHE IS NOT jaman mungu katuumba tofauti wengine tuna aibu na wakimya kwa watu ambao hatujawazoea Sana hiyo siyo sababu ya kuachana na mpenzi wako
Hapana siyo kweli bwanaNyuma ya aibu yenu huwa mnakuwa na mambo mengi sana
Pole ukaribieAisee Taifa stars wamenichefua roho sana,mleta mada nitarudi baadae
Ha ha ha nawajua nyie ni moto wa kuotea baharini kabisaHapana siyo kweli bwana
kama ni hivyo unafaa.Yap Niko tofauti mwanzo nnapomuona mtu na nikimzoea mtu
Mwanangu huyo Diana.Hey king
Sisi tunamatatizo ya kufungwa wewe unatatizo LA shy sijui tatizo gani hill?Jamani nimepita humu somewhere nimekuta a guy analalamika he has a very shy type of girl.....now guys wenye hiyo type of girl be patient with them Mimi ni hiyo type ya girl Kama sujakuzoea ila nikikuzoea basi people always say to my friends why is she so shy..... So quite and their answers is always SHE IS NOT jaman mungu katuumba tofauti wengine tuna aibu na wakimya kwa watu ambao hatujawazoea Sana hiyo siyo sababu ya kuachana na mpenzi wako
Ina maana nirudi nisome upya? Naona hutuheshimu baba zako wadogo....Tutakulaani sie.Ukirudi kusoma upya utajua siyo Mimi Bali nimekuta mtu analalamika atamuacha mpenzi wake kisa ana aibu
baba mdogo jamani nini kwa watoto hukuIna maana nirudi nisome upya? Naona hutuheshimu baba zako wadogo....Tutakulaani sie.
Kwahiyo
Si uandike kiswahili ama kiingereza..
Mkumbavu kabisa..
HahahahahhaahahNaona unaji pigia upatu ..biashara iki nyooka usi sahau kuleta majibu[emoji41]
kama ni hivyo unafaa.
umetufananisha kabisa yaanHa ha ha nawajua nyie ni moto wa kuotea baharini kabisa
Jitahidi uwe unatumia lugha moja italeta mvuto zaidi katika hadithi zakoJamani nimepita humu somewhere nimekuta a guy analalamika he has a very shy type of girl.....now guys wenye hiyo type of girl be patient with them Mimi ni hiyo type ya girl Kama sujakuzoea ila nikikuzoea basi people always say to my friends why is she so shy..... So quite and their answers is always SHE IS NOT jaman mungu katuumba tofauti wengine tuna aibu na wakimya kwa watu ambao hatujawazoea Sana hiyo siyo sababu ya kuachana na mpenzi wako