Mwanamke: Mtafute mumeo, usikae tu

Mwanamke: Mtafute mumeo, usikae tu

Mwanamke bila kuwa makini unaweza jikuta unaishia kuwa jamvi la wana.
 
Kutokana na sensa, Changamoto za maisha na huu utaratibu wa kuinpower upande mmoja,
Wanaume waliotayari kuoa pengine ni 35% hivyo kuna gap kubwa sana.
Wasipo badili utaratibu kuruhusu ndoa ya wake zaidi ya mmoja kama waislam; Jua tu, wanawake wengi watabakia bila kuolewa!
Ni kweli na Hatari sana aseee!

Cc Smart911
 
Ndio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye mihadhara ya kila aina ya kidini, kisiasa, makongamano, kwenye michezo mbalimbali.

Ongea na rafiki zako wa kike kama wana makaka ambao wapo tayari kuoa, ongea na mapadri, wachungaji, mashehe kuwaambia kuwa unatafuta mchumba, jiandikishe kwenye dating sites.

Ukitoka vaa kwa staha ongea kwa adabu na ukifanya utafiti ukamuona kaka fulani akakuvutia na ukagundua kuwa hana mke, mkabili mwambie umempenda na upo tayari akuoe.

Chacharika kwa kila hali, usikae kusubiri mwanaume aje, toka umtafute huko nje.
Vijana wa balehe ya kwanza utawajua kwa vinyuzi vyao.
 
Wapo wengi sana wanapatikana umri kati ya miaka 19 hadi 25. Utasikia "kwasasa mimi sipo tayari kuwa kwenye mahusiano wala ndoa, kwasasa nimefocus kufikia ndoto zangu"

Tafasiri yake ni "unataka na mwili wangu mbichi huu nikae ndani kama mdoli niwe na mwanaume m'moja wa ndoa niache kuliwa na wanaume tofauti tofauti nifurahie usichana wangu kwa raha, niache kupigwa mashine na kupelekwa viwanja vya bata vyote nikae na mtu m'moja? Ngoja kwanza niliwe nikishachoka nikiona mwili umeanza kuzeeka sasa ndio nitatulia nitafute bwege ambae hatani judge anioe nikatulie"

😂😂
 
Ndio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye mihadhara ya kila aina ya kidini, kisiasa, makongamano, kwenye michezo mbalimbali.

Ongea na rafiki zako wa kike kama wana makaka ambao wapo tayari kuoa, ongea na mapadri, wachungaji, mashehe kuwaambia kuwa unatafuta mchumba, jiandikishe kwenye dating sites.

Ukitoka vaa kwa staha ongea kwa adabu na ukifanya utafiti ukamuona kaka fulani akakuvutia na ukagundua kuwa hana mke, mkabili mwambie umempenda na upo tayari akuoe.

Chacharika kwa kila hali, usikae kusubiri mwanaume aje, toka umtafute huko nje.
Heee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom