Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,323
- 62,205
Nilikua nimeshasahau kama nilishakutongoza hadi nilipofungua pmasante,,naanza kulifanyia kaz kesho ๐๐
Nilikua nimeshasahau kama nilishakutongoza hadi nilipofungua pmasante,,naanza kulifanyia kaz kesho ๐๐
Hahahaha ๐๐๐๐๐๐๐๐ daaaah skutegemea hii replyNilikua nimeshasahau kama nilishakutongoza hadi nilipofungua pm
HakikaHehehe hapo ataliwa kimasihara mpaka basi mpaka kuja kupata mume yupo hoi.
Sasa atadate vipi na wanaume bila kuliwa?kumtafuta haina maana ya kufunua chupi

Sasa tutamuoa bila kutest mitambo?kumtafuta haina maana ya kufunua chupi
Wapo wengi sana wanapatikana umri kati ya miaka 19 hadi 25. Utasikia "kwasasa mimi sipo tayari kuwa kwenye mahusiano wala ndoa, kwasasa nimefocus kufikia ndoto zangu"Tukiachilia mbali kigezo cha umri, Hivi kuna wakati mwanamke anakuwa bado hayupo tayari kuolewa!?
Kama ni hivyo basi ni lazima wanawake waufanyiekazi huu uzi.
Maana me nnavyojua mwanaume ndiye anatakiwa kuwa tayari kuoa, maana yeye ndiye anahudumia familia.
Na mwanamke je anatakiwa awetayari kufanyaje?





Humu haujapata tu rafiki ๐คasante,,naanza kulifanyia kaz kesho ๐๐
Njoo inbox mamamuda ukifika nitampata..simjui mwanaume miaka 4 sasaa.
Haumjui kivip madam?
iv wapo kweli humu?Humu haujapata tu rafiki ๐ค
Tupoiv wapo kweli humu?
mmejificha wapiTupo
Tupo wazi tu sema mnatuona matapeli.mmejificha wapi
Ukiona mtu anakosa mke/mume mtaani mpka akaenda church kumtafuta bas anashidaNdio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye mihadhara ya kila aina ya kidini, kisiasa, makongamano, kwenye michezo mbalimbali.
Ongea na rafiki zako wa kike kama wana makaka ambao wapo tayari kuoa, ongea na mapadri, wachungaji, mashehe kuwaambia kuwa unatafuta mchumba, jiandikishe kwenye dating sites.
Ukitoka vaa kwa staha ongea kwa adabu na ukifanya utafiti ukamuona kaka fulani akakuvutia na ukagundua kuwa hana mke, mkabili mwambie umempenda na upo tayari akuoe.
Chacharika kwa kila hali, usikae kusubiri mwanaume aje, toka umtafute huko nje.
Vipi nipige verse ya pili au ile moja inatosha?Hahahaha ๐๐๐๐๐๐๐๐ daaaah skutegemea hii reply
vyovyote vileMume awe na gari
tujitahidi kuwashauriUshauri mzuri na wa maana
Wachache watakuelewa
Dunia ya leo sio ile ambapo hata baba anamwambia jamaa yake kuwa unaonaje mwanangu amuoe binti yako?
Au Mama anaongea na mwingine na kumwambia mwanao kakua anahitaji mume na tunae
Ila siku hizi ni tofauti watoto hawataki kutafutiwa na matokeo yake anachagua kama nyanya akija kushtuka amegonga 40