Mwanamke: Mtafute mumeo, usikae tu

Mwanamke: Mtafute mumeo, usikae tu

Tukiachilia mbali kigezo cha umri, Hivi kuna wakati mwanamke anakuwa bado hayupo tayari kuolewa!?

Kama ni hivyo basi ni lazima wanawake waufanyiekazi huu uzi.

Maana me nnavyojua mwanaume ndiye anatakiwa kuwa tayari kuoa, maana yeye ndiye anahudumia familia.
Na mwanamke je anatakiwa awetayari kufanyaje?
maisha yamebadilika
 
Bora umewasanua

Wnawake wengi wanadhani sisi wanaume tunapenda kuoa!!Tunapenda mapenzi yaani kupata tamu,sio kuoa!!

Kuoa kwetu ni pale tunapoona tumefika mwisho was starehe ndio tunaanza kufikiria Kwa mbaaali sana!mara nyingi tunajikuta ndoani bila hata kupanga!!

Ndoa ni majukumu,kuumiza kichwa,msongo wa mawazo,Hakuna mwaname anaependa hayo Bali tunalazimishwa na nature tuwe hivyo!

Wanawake wangejua kwamba wao ndio wanapenda kuolewa,wasingekua wanakaa tu wakisubiria wangepambana sana!!

Kwetu sisi ndoa ni kifungo ambacho tunaogopa kuingia,yaani ghafla unajiona kama baba was familia 3,ya kwako,kwenu na Kwa mke!!kazi sana!!

Ndio maana hata tukikolea vipi lakini tukiulizwa lini tunaoa tunaogopa kujibu!!!

NDOA NI KESI,MAHAKAMA,GEREZA KWA SISI WANAUME wanawake watambue hilo!
huu ni muda wao sasa kutafuta
 
Hizi zote ni porojo, Ni Mungu pekee aliyeona hitaji la kuwa na mke au mume.

Na ndoa ni takatifu, utakatifu haujawahi kuwa wa mwanadamu.

Kama hujamshirikisha Mungu hiyo ndoa utakuja kuandika uzi humu ndani ukiwa huitaki ndoa tena.
Mungu hutumia binadamu kufanya maamuzi
 
Watoke tu angalau wakutane na sisi wakataa ndoa tuwaambie live kwamba hatutaki ndoa
 
Ndio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye mihadhara ya kila aina ya kidini, kisiasa, makongamano, kwenye michezo mbalimbali.

Ongea na rafiki zako wa kike kama wana makaka ambao wapo tayari kuoa, ongea na mapadri, wachungaji, mashehe kuwaambia kuwa unatafuta mchumba, jiandikishe kwenye dating sites.

Ukitoka vaa kwa staha ongea kwa adabu na ukifanya utafiti ukamuona kaka fulani akakuvutia na ukagundua kuwa hana mke, mkabili mwambie umempenda na upo tayari akuoe.

Chacharika kwa kila hali, usikae kusubiri mwanaume aje, toka umtafute huko nje.
Kwa mfano mimi hapa natafuta mke! Usidanganywe na avatar! Njoo inbox! Uenda mimi ndo mmeo mtarajiwa
 
1000271361.jpg
 
kumtafuta haina maana ya kufunua chupi
Sasa kama anawatafuta mpaka anafungukia anawapenda,lazima watataka wamkague kwanza. Ndio hapo atakaguliwa sana. Dunia ya sasa sio ile unayoiwaza wewe. Dunia imegeuka haileweki kabisa. Dunia pamekuwa mahala pa ovyo sana kuishi.
Vinginevyo mwambie huyo msichana ajue tu kuna kuolewa lakini pia asipoolewa ajue tu ni sawa hakuna waoaji
 
With time kila mmoja atapata wake

Cc Smart911

Kutokana na sensa, Changamoto za maisha na huu utaratibu wa kuinpower upande mmoja,
Wanaume waliotayari kuoa pengine ni 35% hivyo kuna gap kubwa sana.
Wasipo badili utaratibu kuruhusu ndoa ya wake zaidi ya mmoja kama waislam; Jua tu, wanawake wengi watabakia bila kuolewa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom