Hata mimi nahisi
Kama hujui hizo ni CV,s naziweka hapa kiujanja . je ninafaa tuwe wrote.. ?Wew hata ndoa huna Usinichoshe


Uoe wapi ww 😄😄Kama hujui hizo ni CV,s naziweka hapa kiujanja . je ninafaa tuwe wrote.. ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinifanyie hivyo.., hata baada ya ku flow na CV,s , au nimekutisha na huo utaratibu ?Uoe wapi ww![]()


Uonapo simba dume kachutama kwenye manyasi huku akichungulia mbele kwa umakini mkubwa ujue...?mimeelewa sassssaaaaa
kunamsosi hai mbele unanyemelewa 🙁🙁🙁🙁🙁Uonapo simba dume kachutama kwenye manyasi huku akichungulia mbele kwa umakini mkubwa ujue...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaKuchoka kila siku? Unaeza muelewa mtu mara moja ila akifululiza ni kero
Good for them jamaanNimekumbuka hii nyimbo
Ila wapo wanawake wengi warembo na kitandani wako vizuri pia 😃😃
Woyoooo
Haumwi ni mvivu tuPole sana
Vumilia huenda anaumwa mpeleke Hospital akachekiwe afya yake ya uke
Pole bossHaumwi ni mvivu tu