Mwanamke Mrembo Mtaani na Kituko Kitandani!

Kuna ambao wabishi kutanua vipago. Analeta sababu za kijinga kama kuchoka kila saa kama vile sie tunatumia mabetri!
Haya mambo yetu sisi wakubwa ni mazito, watoto humu wakisikia mke kutoa tunda , watakuuliza , parachichi au topetope ?..., Anyway , mimi ndio nashuka ghorofa moja niende bafuni kutoa jasho, kisha nipate mtori na bia mbili, ni staili yangu ya kutoa lock..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah wanatakiwa waelewe aina za matunda kwanza
 
Mkuu point yangu ni kwamba tendo ni hiyari sio lazima so kwa kuwa umeoa ni lazima tendo
Tendo ni hiari ukiwa kwa babaako mzazi aliekuzaa tu. Ukishavaa pete na watu wakala pilau kudhihirisha kuwa we ni mke wa mtu kulala bila chupi sio jambo la kuhoji. Utabiduliwa mda wowote hata usiku wa manane. Jiandae kisaikolojia usije kushindwa kumudu ndoa. Ukiolewa tendo ni must japo tuta apply busara inapohitajika. We unataka mumeo akagonge kituo cha polisi au?
 
Umejuaje kama sijaolewa mkuu? Ndoa ni zaidi ya tendo yaani hata mkeo akiwa kwenye usingizi mzito unampanda kama farasi kisingizio umeoa naludia tena huo ni Utumwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom