Mwanamke Mrembo Mtaani na Kituko Kitandani!

Binti bado hajapevuka.
Ni kweli tumsubirie, ila akija kuelewa atakua kila wakati wa kulala anahakikisha anamkagua abdalah kipara wake kama ajaingia shimoni kwenye mizunguko yake ya kutwa, na uteja wa wauza makufuli utapungua. Ataelewa ni kwa nini mwenye nyumba akiwepo mlangoni halihitajiki kufuli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
 
Umejuaje kama sijaolewa mkuu? Ndoa ni zaidi ya tendo yaani hata mkeo akiwa kwenye usingizi mzito unampanda kama farasi kisingizio umeoa naludia tena huo ni Utumwa
Sijasema hujaolewa mkuu hapa si tunabishana kwa hoja tu madam. Binafsi siwezi fanya hivyo japo nina haki hio ya kumfanya mke wangu kadri navyojiskia hamu. Busara tu ndio nayotumia mara nyingi.
 
Inategemea na uliye nae kwenye ndoa mwanaume kama wew lazima ndoa kwangu iwe zaidi ya Subiri
Tatizo ni incompatibility issues, unaweza kuwa na low sex drive mumeo akawa na high sex drive. Hii ipo sana kwenye jamii, unakuta wanaume wanaongoza kwa kupenda sex kila wakati ila mwanamke hana hisia za mara kwa mara.
Sasa katika hali hio utafanyaje? Utakubali mumeo aoe mke wa pili? La..hasha huwezi kubali. tunachokifanya wanaume kwa busara maana mke unampenda kweli, unaamua kuwa na magoma ya nje unapiga show ukirudi unalala maana unajua mke msumbufu.
 
Inategemea na uliye nae kwenye ndoa mwanaume kama wew lazima ndoa kwangu iwe zaidi ya Subiri
Mie binafsi sio mpenzi sana wa hio kitu, naitumia mara chache sana ila ninapoihitaji sitakagi usumbufu. Na wala sifanyagi kwa komoa, nkipiga zangu 2-3 za kitajiri nmetosheka hapi naeza kukacha hata week nzima ukawa unalala raha mustarehe, ila ukileta uvivu unatoa kimoko tu utakula mashine kila baada ya siku 1 hadi ujute kuolewa maana hamu haiishi yote.
 
Unaonekana unapenda sana kwichi ww😄😄😄
 
Hahaha mweleze huyu manka, hajui maana ya ndoa ye alifikiri ndoa ni pete tu. Na mbaya zaidi hiki ndio kizazi cha wanawake wengi wa kileo. Mavivu sana yani unaamua upigage kimoko tu kulinda heshima kisha unaenda kujimaliza vizuri
Sijaona sababu za mtu kuoa wala kuolewa kama kuna masharti kwenye tendo....mda wowote mwanaume akitaka lazima apewe...ndo maana kaoa...ulipochukua mahali ulikubali hilo...

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa michepuko yako!
 
Hapa mimi nitoe sio mvuvi
Sasa mbona unalialia kudai sio lazima wakati umeolewa mankaa. Hio kitu lazma itumike vizuri kwa watu walioko busy sio demanding sana ila siku ukiimisi unataka uipate vyema bila kero mara oh nimechoka sijui bla bla.

Sasa chukulia mfano mtu unalala na kuamka nae anapiga gemu moja tu kwa week nzima tena bao moja la fasta tu kupunguza sumu mwilini unaanza kumletea lawama oh nimechoka sjui hivi kweli we utakuwa mwanamke wa aina gani kama sio mzigo ndoani? Yani goli moja tena unajitahidi liwe la kitajiri maanabunajua mke hawezi himili stamina mode bado still analialia.
 
Mkuu umeshinda nimekuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom