Mwanamke mmoja nchini Pakistani kamtukana mtume na mlinzi wa waziri, kajitoa muanga

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
MWANAMKE MMOJA NCHINI PAKISTANI KAMTUKANA MTUME [S.A.W] NA KUNA WAZIRI MMOJA AKAJARIBU KUMTETEA MWANAMKE HUYO NA KUBADILISHA KANUNI YA PAKISTANI AMBAYO INASEMANI MAKOSA KUMTUKANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W).
MLINZI WA WAZIRI HAKUVUMILIA HALI HIYO AKAAMUA HUYO WAZIRI.
MLINZI HUYO KWA JINA "MUMTAZ QADIY" ALIKAMATWA NA ALIHUKUMIWA KUNYONGWA JANA 4.3.2016
NDIO ALINYONGWA NA MWILI WAKE ULIKABIDHIWA KWA NDUGU ZAKE.
WALITOKA WAISLAMU MILIONI 1 KUSINDIKIZA JENEZA LA SHUJAA HUYO AMBAYE KAITOA NAFSI YAKE KWA AJILI YA KUMTETEA MTUME MUHAMMAD (S.A.W).
Allahu Akbar!
 

Attachments

  • 1457254654172.jpg
    1457254654172.jpg
    37.1 KB · Views: 102
1). Hao watu mbona ni wachache sana ukilinganisha na wale waliomsindikiza Laigwanani kurejesha form za kugombea uprezidaa.
2). Kama marehemu/hayati mtume anahitaji kutetewa na sisi wanadamu, basi hii inategua kitendawili cha kiimani kuwa sisi ni watakatifu kuliko yeye hivyo hakuna sababu kwa namna yoyote ile inayotufunga kumuabudu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom