Mwanamke mmoja nchini Pakistani kamtukana mtume na mlinzi wa waziri, kajitoa muanga

Pumbavu moja hivi. Hivi kwani kama ni kosa si anadhibu Mungu mwenyewe, imani zingine bwana.
 
Kuna siku nilikaa nikawaza ni kitu gani kinachowapa waislam hasira sana kuhusu mtume wao na dini yao kuna siku nilikisoma kidogo tu nikaja kugundua kile kitabu kimeandikwa hovyo hovyo tu na inaonyesha mwenyewe aliandika kile kitabu hakutulia alikua anamambo mengi sana na ukikifuatila sana unaweza kuja kuwa chizi.
Kama wewe ulivyokifatilia na hatimaye yuchizi.
 
Mtume Muhammad anathamani kuliko watoto wangu,mama yangu ,baba yangu na kila anaenihusu kwa ujumla wao,we love islam love him than we love our selves. Hope you can imagine
 
Usidanganye watu hapa wazungu ukiwaona nchi za kiislamu basi ujue amefuata raslimali tena kwa kufuata taratibu sio kama waarabu kila siku wanakufa baharini kisa ulaya
Wewe hujui history,mzungu alianza kufa yeye baharini,akaenda nchi za kiarabu,na kiafrika,na wakauwana vita vya kwanza na vya pili vya dunia,kwa kugombania kuishi Arabuni na Afrika.Rudi shule ukasome.
Na mpaka sasa maelfu na maelfu,bado wako nchi hizo,na wanaendelea kumiminika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom