Mwanamke mmoja nchini Pakistani kamtukana mtume na mlinzi wa waziri, kajitoa muanga

Hizo story za sijui Suleiman aliamrisha Majini na Mashetani yakamtii hazijulikani kabisa kwenye Ukristo na nadhani huenda mnazitoa kwenye Qur'an. Theology ya Ukristo haiko friendly kabisa na Majini na Mashetani na ni moja ya kanuni kuu zinazotenganisha imani hizi mbili!
Sasa huyu Shetani mtakatifu katokea wapi (holly ghost).
 
image.jpeg
Wengi wanasilimu kuifuata dini ya haki,dini inayojipambanua na kujieleza kuwa ni ya haki ndo maana wanatheolojia,na watafiti wengi wanasalimu kwa Allah,wapuuzi km wewe ndo mmebaki kuungama mfutiwe makosa na binaadamu wenzenu wenye dhambi kuwashinda (walawiti watoto madhabahuni) na wakina kibwetere wanaowaambia mjiunguze moto, dini isiyo na mungu,dini isiyo na kitabu chenye kueleweka,kuanzia mwanzo mpaka ufunuo hamna hata verse moja inayokir kuwa ukiristo ni dini ila kuna verse inayosema kuwa ukiristo ni upagan thus matusi kwenu si shida
....hapo vipi unamzungumziaje huyu ustaadh??!!
 
MWANAMKE MMOJA NCHINI PAKISTANI KAMTUKANA MTUME [S.A.W] NA KUNA WAZIRI MMOJA AKAJARIBU KUMTETEA MWANAMKE HUYO NA KUBADILISHA KANUNI YA PAKISTANI AMBAYO INASEMANI MAKOSA KUMTUKANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W).
MLINZI WA WAZIRI HAKUVUMILIA HALI HIYO AKAAMUA HUYO WAZIRI.
MLINZI HUYO KWA JINA "MUMTAZ QADIY" ALIKAMATWA NA ALIHUKUMIWA KUNYONGWA JANA 4.3.2016
NDIO ALINYONGWA NA MWILI WAKE ULIKABIDHIWA KWA NDUGU ZAKE.
WALITOKA WAISLAMU MILIONI 1 KUSINDIKIZA JENEZA LA SHUJAA HUYO AMBAYE KAITOA NAFSI YAKE KWA AJILI YA KUMTETEA MTUME MUHAMMAD (S.A.W).
Allahu Akbar!
Faiza foxy alienda enhee? 1million mbona wachache sana, nilidhani waislam dunia nzima wangehamia huko Pakistan.
 
Hakuna muikristo ataweza fafanua hayo,
Me hua sibishani na hawa vidagaa,
Hua nawataka hao wachungaji wao mpk wanaomba poo,

Yani hawa ndio mana viongozi wao wanawaita kondoo coz wanapelekeshwa hata hawajielewi maskini,
Wengi hata biblia hawajaisoma zaidi ya kusomewa na mchungaji.

Wangejiuliza kwanza,
Walishawahi msikia muislam anamtukana Yesu?
Kwann wao daily kumtukana Mtume, uislam na wengn wanamtukana Allah ambae ndio Mungu wao pia.
Kuna wengn wanajua kua Allah sio Mungu, basi hawa jamaa ni hasara kubwa,
Ndio mana wakaulizwa
"enyi wagalatia ni nani aliyewaroga?"
Maana hata huyo mtume wao paulo ilifika kipindi akawa hawaelewi.

Tuwaombee sana huenda siku Mungu akawafunulia,
Akawatoa upofu machoni mwao, na ukiziwi masikioni mwao, na akatoa ukungu uliojaa mioyoni mwao.

Aaamin.
Jesus and god
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom