Na Madabida
Wa kiwanda cha arv feki?[/QUOTE
Mkiambiwa kuna MAFIA ccm mnabisha; kesi ya huyu mama Madabida na mumewe Mweneyekiti wa CCM DSM kuhusiana na kutengeneza ARV feki imezimwa hivi hivi huku maisha ya wananchi wengi waathirika yamepotea!! Poor governance at its pinacle!!
Wa kiwanda cha arv feki?[/QUOTE ]kiambiwa kuna MAFIA ccm mnabisha; kesi ya huyu mama Madabida na mumewe Mweneyekiti wa CCM DSM kuhusiana na kutengeneza ARV feki imezimwa hivi hivi huku maisha ya wananchi wengi waathirika yamepotea!! Poor governance at its pinacle!!
Huyu mama wa kihehe bado hajastaafu?Mama wa kitambo sana jeshini huyu...
Huyu kachanganya mbegu
Mhee pyua huyu mamaNaiona Damu/Rangi ya Kinyarwanda/ Kirundi...
Ndio Watanganyika tulivyo.
Hakuna mwenye Nchi yake...
Hahhaha naikumbuka Msange moja hiyoAfande Madawili ...jina lake limefanya mpaka leo hii kwenye kambi nyingi wanajeshi wakike walio mafunzoni wanaitwq MADAWILI... hasa wale wa JKT kila mwanamke huitwa dawili.
Kashastaafu kitambo mkuuHuyu mama wa kihehe bado hajastaafu?