Mwanamke Mjeshi Kwa Kiwango cha Lami

Mwanamke Mjeshi Kwa Kiwango cha Lami

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
22289_561659993976153_6044593522622916750_n.jpg
Brigedia Jenerali Zawadi Madawili, mwanamke mwenye cheo cha juu kuliko wanawake wote JWTZ .
 
yaaninusipoambiwa wala hutasema ......................
 
Huyu Mama alikwisha staafu, wapo wengine mmoja ameenda Sudan juzi tu nae ni 1 General Star! Nadhani yupo Maj Gen pia!
 
Alishastaafu siku nyingi, alistaafu na Cheo cha meja jenerali, hata hivyo yeye alikuwa mwanamke Wa kwanza kuwa na Cheo kikubwa jeshini Ingawa siku hizi Kuna wengine.
 
Nilipata kusikia pia kuwa yule mama mwimba taarabu (njiwa peleka salamu) ni mwanajeshi mwenye cheo
 
Wandugu !! 1000 words, masuali 1000 ? na zaidi ni HONGERA milioni moja kwake Mjeshi.
 
Usilolijua siku nyingine jaribu kuuliza au kutafiti kwanza.
 
Afande Madawili ...jina lake limefanya mpaka leo hii kwenye kambi nyingi wanajeshi wakike walio mafunzoni wanaitwq MADAWILI... hasa wale wa JKT kila mwanamke huitwa dawili.
 
Back
Top Bottom