jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
na wanaoeleweka hawaonekani na wanaume hahahahahhaItoshe kusema wanawake wasio eleweka wana bahati sana![]()
na wanaoeleweka hawaonekani na wanaume hahahahahhaItoshe kusema wanawake wasio eleweka wana bahati sana![]()
Pumbav akakae kwa babayakeVizuri sana mwanamke mwenzetu anatekeleza makubaliano ya kikao chetu cha juzi hamna kumfanyia KAZI mtu
Huyo mwanamke nahisi anaitwa graceWanajukwaa, naomba mnisaidie hili limekaaje.
Ninaishi na mwanamke ila ni mbishi kupindukia kiasi kwamba hataki kufanya usafi wa nyumba, nikimwelekeza kutimiza majukumu fulani labda kufua nguo zangu, analoweka na kukamua, na kuanika hivyo hivyo mpaka niongee sana ndiyo ananisikiliza.
Sasa nimeona hii inansumbua kitu, nataka nimfukuze ndani. Bora akae chumba cha nje, mimi nikae kivyangu ili hayo majukumu nitekeleze mwenyewe. Hii imekaaje?
Maana sitaki aingie ndani kwangu tena, nataka nimpe chumba cha nje anipishe. Maana nina hasira sana, nikikaa naye karibu naweza kuagiza gunia la mkaa.
Nilisubiri ujieleze nikuelewe.kwao walikubali kuwa kumuoa ila tulipo kuja kwenye suala la mahari ndo wakanizingua mahari 5mil mimi mwenyewe hata kodi ya elf 20 mtihani,basi tukaamua kuishi hivo hivo bila hata ndoa maana walidai bila hiyo pesa hamna ndoa sasa tuna mtoto mmoja ina na tayari ninimejenga nyumba hapa hapa mjini baada ya maisha kuwa mazuri kiasi flani sass naona anaanza kusumbua kwa hilo na ukimuwasha kibao taarifa zinakimbilia kwao na kwa wazaz wangu na upuuzi anafanya yeye.
This life no rest 😂😂😂. Compromise ni nyingi sanaTunapitia mengi pole sana
Wa kwangu ni msafi kupindukia yaani ndani ng'ari ng'ari mpaka air freshener.
Ila sasa mbunye kwa mbinde, nimeamua kutafuta kimada. Nikirudi niko mwepesiii namhug mabusu halafu tunalala tu,
Sasa nifanyeje?