Mwanamke mbishi

Mwanamke mbishi

Ndio hivyo sasa…
Na nyie mnapenda kudanganywa sana.
Mtu akiwa halisia mnampiga kibuti chap.

Mnapenda baby nyanyanyaa baby nyenyenye..

Kuweni na wanawake upstairs wako vizuri hata kama sura inakata viuno
Sura inakata viuno? Hebu sindikiza na kapicha
 
Ninaishi na mwanamke ila ni mbishi kupindukia kiasi kwamba hataki kufanya usafi wa nyumba, nikimwelekeza kutimiza majukumu fulani labda kufua nguo zangu, analoweka na kukamua, na kuanika hivyo hivyo mpaka niongee sana ndiyo ananisikiliza.
Umioa bomu lipuka nalo, hakuna aliekulazimisha umeoa mwenyewe pambana na hilo bomu
 
Wanajukwaa, naomba mnisaidie hili limekaaje.

Ninaishi na mwanamke ila ni mbishi kupindukia kiasi kwamba hataki kufanya usafi wa nyumba, nikimwelekeza kutimiza majukumu fulani labda kufua nguo zangu, analoweka na kukamua, na kuanika hivyo hivyo mpaka niongee sana ndiyo ananisikiliza.

Sasa nimeona hii inansumbua kitu, nataka nimfukuze ndani. Bora akae chumba cha nje, mimi nikae kivyangu ili hayo majukumu nitekeleze mwenyewe. Hii imekaaje?

Maana sitaki aingie ndani kwangu tena, nataka nimpe chumba cha nje anipishe. Maana nina hasira sana, nikikaa naye karibu naweza kuagiza gunia la mkaa.
Hiki kizazi ni shida sana hivi unauliza haya mambo yako huku JF?,mbona wakati unaenda kuoa hukuja huku kuuliza?.Kwa hiyo pambana na hali yako ww mwenyewe
 
Tunapitia mengi pole sana

Wa kwangu ni msafi kupindukia yaani ndani ng'ari ng'ari mpaka air freshener.

Ila sasa mbunye kwa mbinde, nimeamua kutafuta kimada. Nikirudi niko mwepesiii namhug mabusu halafu tunalala tu,
Sasa nifanyeje?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna wanawake ni wachafu sana yaani hata upige kelele vipi hawabadiliki.
We tafuta machine ya kufulia zipo zile ndogo za laki 3 inafua na kukausha alafu yeye mtimue akakae huko chumba Cha nje maana hajitambui
 
Inshort huna mke hapo
Ishu hapo sio uchafu wala uvivu,ishu kubwa iliyopo hapo huyo mwanamke hakuheshimu na hajawahi kukuheshimu mnapoelekea atakuja kukutukana mchana kweupe!
Akipata mwanaume ambae anamuheshimu hatafanya hivyo niamini mimi!
 
Kihalali au ile kiwizi wizi? Namaanisha huyo mwanamke umekabidhiwa?
kwao walikubali kuwa kumuoa ila tulipo kuja kwenye suala la mahari ndo wakanizingua mahari 5mil mimi mwenyewe hata kodi ya elf 20 mtihani,basi tukaamua kuishi hivo hivo bila hata ndoa maana walidai bila hiyo pesa hamna ndoa sasa tuna mtoto mmoja ina na tayari ninimejenga nyumba hapa hapa mjini baada ya maisha kuwa mazuri kiasi flani sass naona anaanza kusumbua kwa hilo na ukimuwasha kibao taarifa zinakimbilia kwao na kwa wazaz wangu na upuuzi anafanya yeye.
 
Tatizo ni mbishi sana hanisikilizi mpaka niongee sana au nifikie stage ya kumwasha vibao ndo anatekeleza namimi sipendi kufanya hivo.
Kila siku nasema. Utamaduni wa kupiga watoto wetu au kuwakaripia kila siku huathiri tabia zao wanapokuwa watu wazima. Huyu inaonyesha amethirika na yaliyotokea akiwa mdogo. Alizoeshwa kuelekezwa kwa kipigo na kukaripiwa. Kama una mama mzazi au mtu mzima mwanamke unayeweza kuishi naye mchukuwe amfunze. Ikishindikana achaneni kabla mambo hayajaharibika. Uzoefu unaonyesha wanawake wa aina hii pia wanakuwa ni wachepukaji wazuri sana.
 
Andika ratiba ibandike ukutani, wadada wengi wenye makalio makubwa ni vichaa-mild mental retarded
Kuna watakaobisha lakini kuna ukweli fulani. Ni kwa sababu wanakutana na mengi tangu wakiwa wadogo kwa sababu ya wanaume wa kiafrika kutamani wanawake wenye makalio makubwa.
 
Ndio hivyo sasa…
Na nyie mnapenda kudanganywa sana.
Mtu akiwa halisia mnampiga kibuti chap.

Mnapenda baby nyanyanyaa baby nyenyenye..

Kuweni na wanawake upstairs wako vizuri hata kama sura inakata viuno
''wanawake upstairs wako vizuri hata kama sura inakata viuno'': Ujumbe mzuri sana huu. Wanaume wengi siku hizi wanaoa kwa sababu ya kutamani na siyo kupata wenza sahihi. Ndoa za namna hii hazidumu na zinakuwa na migogoro kila wakati.
 
kwao walikubali kuwa kumuoa ila tulipo kuja kwenye suala la mahari ndo wakanizingua mahari 5mil mimi mwenyewe hata kodi ya elf 20 mtihani,basi tukaamua kuishi hivo hivo bila hata ndoa maana walidai bila hiyo pesa hamna ndoa sasa tuna mtoto mmoja ina na tayari ninimejenga nyumba hapa hapa mjini baada ya maisha kuwa mazuri kiasi flani sass naona anaanza kusumbua kwa hilo na ukimuwasha kibao taarifa zinakimbilia kwao na kwa wazaz wangu na upuuzi anafanya yeye.
Kwa upande mwingine inaonyesha wewe una udhaifu kwenye management ya family affairs! Umeshindwa kuwa kiongozi wa family.
 
Back
Top Bottom