Mwanamke mbishi

Mwanamke mbishi

Tunapitia mengi pole sana

Wa kwangu ni msafi kupindukia yaani ndani ng'ari ng'ari mpaka air freshener.

Ila sasa mbunye kwa mbinde, nimeamua kutafuta kimada. Nikirudi niko mwepesiii namhug mabusu halafu tunalala tu,
Sasa nifanyeje?

Hapo unakuta kuna mwamba anapelekewa kila siku,wewe unabaki kuwa mpenzi mtazamaji
 
Wanajukwaa, naomba mnisaidie hili limekaaje.

Ninaishi na mwanamke ila ni mbishi kupindukia kiasi kwamba hataki kufanya usafi wa nyumba, nikimwelekeza kutimiza majukumu flani labda kufua nguo zangu analoweka na kukamua pia nakuanika hivo hivo mpaka niongee sana ndo ananisikiliza.

Sasa nimeona hii inansumbua kitu nataka nimfukuze ndani bora akae chumba cha njee mi nikae kivyangu ili hayo majukumu nitekeleze mwenyewe hii imekaaje, maana sitaki aingie ndani kwangu tena nataka nimpe chumba cha nje anipishe maana nina hasira sana nikikaa naye karibu naweza kuagiza gunia la mkaa.
Huyo siyo mwanamke bali ni chama cha upinzani.Fukuza mara moja.
 
Wanajukwaa, naomba mnisaidie hili limekaaje.

Ninaishi na mwanamke ila ni mbishi kupindukia kiasi kwamba hataki kufanya usafi wa nyumba, nikimwelekeza kutimiza majukumu flani labda kufua nguo zangu analoweka na kukamua pia nakuanika hivo hivo mpaka niongee sana ndo ananisikiliza.

Sasa nimeona hii inansumbua kitu nataka nimfukuze ndani bora akae chumba cha njee mi nikae kivyangu ili hayo majukumu nitekeleze mwenyewe hii imekaaje, maana sitaki aingie ndani kwangu tena nataka nimpe chumba cha nje anipishe maana nina hasira sana nikikaa naye karibu naweza kuagiza gunia la mkaa.
Mnunulie washing machine
 
Pole sana mkuu changamoto unayoipitia hata mimi pia naipitia japo mi huwa sigombani nae wala nafua nguo zangu mwenyewe, ukiendekeza kugombana na hao viumbe kama siyo Jela basi utakufa mapema
Yani uko na mwanamke ndani halafu hakufulii nguo!!unafua mwenyewe eti hutaki kujibishana nae..nonsense kabisa.na bado unamhudumia!!😀

Ungekuwa unamlisha vitasa vya mshtukizo kama mabomu ya Urusi na Ukraine.pumbavu kabisa
 
Wanajukwaa, naomba mnisaidie hili limekaaje.

Ninaishi na mwanamke ila ni mbishi kupindukia kiasi kwamba hataki kufanya usafi wa nyumba, nikimwelekeza kutimiza majukumu flani labda kufua nguo zangu analoweka na kukamua pia nakuanika hivo hivo mpaka niongee sana ndo ananisikiliza.

Sasa nimeona hii inansumbua kitu nataka nimfukuze ndani bora akae chumba cha njee mi nikae kivyangu ili hayo majukumu nitekeleze mwenyewe hii imekaaje, maana sitaki aingie ndani kwangu tena nataka nimpe chumba cha nje anipishe maana nina hasira sana nikikaa naye karibu naweza kuagiza gunia la mkaa.
Ni lazima uishi naye?!!
 
Tunapitia mengi pole sana

Wa kwangu ni msafi kupindukia yaani ndani ng'ari ng'ari mpaka air freshener.

Ila sasa mbunye kwa mbinde, nimeamua kutafuta kimada. Nikirudi niko mwepesiii namhug mabusu halafu tunalala tu,
Sasa nifanyeje?
Wewe ndoa yako itadumu😆😆kumbe na nyie wanaume mnapitia mengi ee…

Usisahau ndom sasa we nae
 
Tunapitia mengi pole sana

Wa kwangu ni msafi kupindukia yaani ndani ng'ari ng'ari mpaka air freshener.

Ila sasa mbunye kwa mbinde, nimeamua kutafuta kimada. Nikirudi niko mwepesiii namhug mabusu halafu tunalala tu,
Sasa nifanyeje?
Lazy man. Yani anakubania halafu anampa nani?. Nawe umeridhika kabisa eti na hug, mabusu halafu tunalala, halafu unauliza ufanyaje?.
 
Back
Top Bottom