Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Ni wachache mno, point inayobeba kila kitu ni pale aliposema wanakuwa na wanaume wengi wakiamini kuwa na sehemu nyingi za kupeleka shida zao inawarahisishia maisha kumbe ndo wanalikoroga zaidi.
Hiyo ni pale maskini Huyo was kike anapofanya mwili wake kuwa kitega uchumi chake( means chanzo cha mapato yake)
 
Mwanamke masikini ana uza utu wake kwa urahisi sana kuliko yule mwenye uwezo

Kwanza kitendo cha mwanamke kuwa na elimu yake kichwani na uwezo wa kipesa hiyo inatosha kabisa kutomendewa mendewa hovyo na wanaume.
Mwenye uwezo anaweza kununua.
 
Ila sio umaskini ndo chanzo nakataa na kupinga mwanamke wa kutaka kujua kila kitu ndo mbayaaa sanaa.BORA MWANAMKE MASKINI KULIKO MJINGA NA MPUMBAVU WA MAPENZI.
Kweli kuna wanawake watafiti wanataka kujua kila k2 hawa lazima wachezee bakora chini hata kama Matajiri
 
Lakini mie nachojua wanawake wanafanana mawazo, asilimia kubwa hawana msaada kwa mmewe bali wako radhi kupeleka kipato chote kwa familia zao. Lakini mwanamke atakuwa jinsi wewe unavyompeleka. Ndo mana tunakumbushwa kuishi na wake zetu kwa akili. Umaskini ama utajiri hauna mchango wowote kwa tabia ya mtu, bali kujitambua kwaweza kumfanya mtu aonekane jinsi alivyo
 
punguza povu......maskini wengi mnazingua.umaskini ni laana na sio kingine.
Inawezekana hata wazazi wako walikuwa masikini ndio maana una ulimbukeni wa maisha hayo uliyoyakuta.Sisi tuliokuwa nayo tangu enzi za mababu hatuwezi kuuendekeza ubaguzi kama wako.
 
Mleta maada ufaham kitu kimoja kuwa, hakuna masikini permanent. Umasikini huwa tunapokezana.... Akiwa masikini Leo , kesho unamkuta tajiri... Mimi ningekuunga mkono kama ungejikita zaidi kwenye tabia....Hakuna mwanamke Malaya kama tajiri.... Yupo tayari kuliwa na shambaboy tena mashambani humo.... Anamlipa kijana, anamshughulikia ipasavyo then imetoka hiyo.... Wanawake tajiri ni Malaya kuliko masikini..nukta....
Hata wakata nyasi za ng'ombe ndo wanazilea familia za kitajiri, wanashughulikia sana wake wa bosi zao kwa ujira mnono
 
Kweli kabisa

Ww engineer mzima ukaoe msichana ambaye hata elimu ya sekondari hana kama sio utahira huo ni nini

Mwanzoni mtaenda sawa ila kadri muda utakavyozidi kusonga tofauti za kimtazamo zitazidi kuonekana
You think locally N wanna act globally.Kati ya Wayne Rooney na wewe ni nani mwenye elimu kubwa?Nini maana ya elimu?Naomba majibu yasiyoambatana na OMO please.
 
Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini

Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...

Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.

Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...

Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...

Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.

Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo

BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Hiki ulichokieleza hapa kina UKWELI kwa sehemu kubwa sana ingawa sio lazima iwe kwa Wanawake wote.

Kuna Mshkaji wangu yeye alishaapa kuwa hata date mabinti masikini hata siku moja. Sababu yake ni hii ya kuliliwa shida kiila kukicha na hata kuletewa shida za ndugu wa binti

Binafsi naamini mabinti waliotokea kwenye umasikini wa mali na fedha wengi wao ni rahisi kudanganywa na ni wapiga mizinga sana.

Lakini pia, Naamini wapo wa hivyo wachache ambao hawadanganyiki hovyo na wanajiheshimu.

Nakuonea tu huruma kwa vita uliyoianzisha humu.
 
Inawezekana hata wazazi wako walikuwa masikini ndio maana una ulimbukeni wa maisha hayo uliyoyakuta.Sisi tuliokuwa nayo tangu enzi za mababu hatuwezi kuuendekeza ubaguzi kama wako.
sina ubaguzi mkuu...unashindwa tuu kukubali reality.hata Mungu ameongea kuwa umaskini ni laana kwa msaada soma(kumbkumb LA torati 28).nisamehe kama nimekukwaza
 
Back
Top Bottom