Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

mkuu tabia sio lazima urithi tuu.umasikini ni laana usiwe mbishi kiasi hicho ikatae hyo hali kama unayo na kesho utanishukuru.kunakitu kinaitwa intimacy unaweza uka absorb mikosi na laana za partner wako japo ww ukiwa clean na mambo yako yakavurugika kila idara.Nimesoma uingereza kwa miaka 7 kuhusu mambo ya human development kwaiyo nakifahamu nnacho kueleza.kama unatabia ya kujisomea vitabu ntakusaidia for free walau upate mwangaza kidogo.
Mkuu unakufuru. Dunia inazungua na classes Mungu kaweka kwa malengo maalumu. Hapo dah think twice mkuu
Ni kweli lakini hawa ndo wanaliwa hadi maofisini

Masikini uliowataja hapo ni kama kina Wema,Wolper na wengineo wanaotegemea papuchi zao kama mtaji au?Maana ninavyojua mimi binadamu hurithi tabia kutoka kwa wazazi(influence and adoption).Ukiongelea suala la umasikini kuwa ndio sababu ya mtu kuwa na tabia mbaya nakataa kabisa.Zipo nchi zinazoongoza kwa kuwa na umasikini mkubwa na familia nyingi ni za kimasikini mfano Somalia na Sudan lakini watu wana maadili na sifa zote anazotakiwa kuwa nazo mtu timamu.Umasikini hauwezi ku-justfy tabia ya mtu bali mazingira aliyokulia.I need no povu.
 
Samahani mkuu si wote, uliyempata hakukupenda tu, wako maskini wanaoheshimu ndoa zao na wakaheshimika.

Masikini haaminiki anaweza kununuliwa wakati wowote.
Hata Mungu haweki agano Na masikini hata mara moja .
 
sina ubaguzi mkuu...unashindwa tuu kukubali reality.hata Mungu ameongea kuwa umaskini ni laana kwa msaada soma(kumbkumb LA torati 28).nisamehe kama nimekukwaza
Je unajua maana ya neno Masikini?Je umasikini ulioongelewa kwenye torati ni wa kimwili,kiakili au kiroho?Nisaidie tafadhali,huenda ukanishawishi kukuelewa.
 
mkuu tabia sio lazima urithi tuu.umasikini ni laana usiwe mbishi kiasi hicho ikatae hyo hali kama unayo na kesho utanishukuru.kunakitu kinaitwa intimacy unaweza uka absorb mikosi na laana za partner wako japo ww ukiwa clean na mambo yako yakavurugika kila idara.Nimesoma uingereza kwa miaka 7 kuhusu mambo ya human development kwaiyo nakifahamu nnacho kueleza.kama unatabia ya kujisomea vitabu ntakusaidia for free walau upate mwangaza kidogo.
Mimi si masikini na sina laana wala mikosi na siamini katika laana bali ni muumini wa ushindi daima.Lakini pamoja na hali niliyonayo siwezi kuwashawishi watu kujitenga na jamii za kimasikini badala ya kuhamasisha watu wasio masikini kuwa karibu nao ili waweze kutoka katika hicho kitu ambacho ninyi mnakiita laana.Kama wewe ni msomi kwa nini usijikite katika kuwaelimisha hao unaodai wana laana badala yake unaandika vitu vya kushangaza?
 
Duh!
Umaskini ni laana, wakati huo huo tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Tuweje sasa mkuu unashauri?
Huyo anachanganya utajiri unaoelezewa kiroho na wa baba yake.
 
Hahahah huyo mwanamke wa hivyo si lazma awe masikini. Tunachanganya mahali pamoja, mwanamke yeyote anaweza fanya hivyo akiwa na asili ya tamaa ya mambo makubwa na wenye tabia hio majority ni malimbukeni. Inategemea pia na malezi mtu aliyokulia, kama alikuwa mtu wa kupewa kila kitu on demand ipo kazi tofauti na wale ambao waliahidiwa nikipata ntakununulia mwanangu wakakua katika spirit hio.

Ni rahisi sana kumjua mwanamke limbukeni ukiwa nae ingawa kiasili wanawake wote wameumbwa na tamaa inategemea na level of tolerance.

Kuna mwanamke ambaye atakosa uvumilivu pale akiona tu kuwa wenzake wanamtambia sana na vitu vya thamani walivyopewa na mabwana zao ilihali we unauwezo mdogo wa kumtimizia kama wenzie.
Badala ya kuchukulia easy kulingana na level yenu kiuchumi ghafla ataanza kutafuta alternative ya bwana mwenye pesa zaidi na visa vinaanza eventually akishampata utaandika maumivu tu hata kama mmependana kiasi gani,mlikaa miaka mingapi, mlipanga future pamoja na kiasi gani umejitoa kufanikisha hilo.

Mwanamke huyu ndie wa kumuogopa sana maana hana akili hata kidogo ya kujiwazia mwenyewe anashikiwa akili. Pili ni mbinafsi wa kutupwa maana anapelekshwa na tamaa ya muda mfupi pasi na kujali utu kwa kutaka kila anachokipenda apate hapo hapo. Mwanamke wa hivi ndio wale hata ukifulia ghafla anakukimbia.



Kuna aina nyengine ya wanawake ambao wana uwezo mzuri wa ku sync tamaa zao na impact yake kwa kutumia akili.Hawa ndio wake wa kuoa sasa. Yani huyu atai handle tamaa yake in a very intelligent way, ameona wenzake wameimprove atakuja kama anakupa hints kijanja na plans za namna gani ya nyie ku progress then anaskilizia useti mipango muanze kujiendeleza akikupa full support. Hata lazimisha mambo ambayo hayawezekani ghafla. Aina hii ndio wale waliokulia mazingira amabayo yaliwalazimu kusubiria kile wakitakacho kabla ya kukipata.
Aina hii ndio wapo wachache sana sikuhizi maana utandawazi umefanya kuwaficha sana.Ukimpata wa hivi utaiona pepo hubani.
Big up mkuu.
 
Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini

Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...

Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.

Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...

Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...

Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.

Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo

BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Hyo mkuu inaukweli asilimia zotee,,hawa wnawke wanasumbuaaa kweliii
 
Tena bora ukutane na jambazi linalotumia siraha kabsaa lakin sio mwanamke wa hivyo maana anaweza kulisha hata sumu kwa sababu yupo kimasirhi zaidi
 
Sidhani kama kuna uhalisia unachokisema mtoa mada,mambo ya usaliti na ustahimilivu ni tabia ya MTU,MTU anaporidhika na mwenzie hajali hayo mengineyo
 
Hiyo ilikuwa zamani

Mwanamke maskini hawezi kukupenda kwa dhati na hata kama atakupenda halafu akatokea jamaa ana pesa za kutosha huyo mwanamke hata kama atakuwa hampendi huyo kibosile akawa anakupenda wewe lakini kadri siku zinavyozidi kwenda atazoeshwa hela ambazo hakuwahi kuzishika na upendo kwako automatically utapungua tu ,atakutafutia kisababu kidogo muachane.
ni kweli mkuu...
 
mkuu tabia sio lazima urithi tuu.umasikini ni laana usiwe mbishi kiasi hicho ikatae hyo hali kama unayo na kesho utanishukuru.kunakitu kinaitwa intimacy unaweza uka absorb mikosi na laana za partner wako japo ww ukiwa clean na mambo yako yakavurugika kila idara.Nimesoma uingereza kwa miaka 7 kuhusu mambo ya human development kwaiyo nakifahamu nnacho kueleza.kama unatabia ya kujisomea vitabu ntakusaidia for free walau upate mwangaza kidogo.
Umenigusa sana mkuu, nawezaje kuondoa hiyo laana mkuu.
 
Masikini haaminiki anaweza kununuliwa wakati wowote.
Hata Mungu haweki agano Na masikini hata mara moja .
Nikikutana na misitari hii kwenye biblia kamwe sintoenda kanisani tena kusali !!!!!
 
Back
Top Bottom