HakikaSamahani mkuu si wote, uliyempata hakukupenda tu, wako maskini wanaoheshimu ndoa zao na wakaheshimika.
This is Fact ndo maana Huyu mtooto wa kishuaa sitakii kumuachiaa mimiiHabar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini
Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...
Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.
Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...
Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...
Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.
Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo
BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Ulishawahi ku date na msichana wa uswahilini na wa hali ya chini.?Nijuavyo mimi uhuni na umalaya ni tabia ya mtu aliyozaliwa nayo wala hakuna connection ya utajiri na umasikini.
Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini
Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...
Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.
Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...
Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...
Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.
Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo
BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Umasikini na utajiri hizo ni hali tu za kimaisha,kikubwa ni kupendana,kusikilizana na kuvumiliana.Ulishawahi ku date na msichana wa uswahilini na wa hali ya chini.?
Hiyo ilikuwa zamaniUmasikini na utajiri hizo ni hali tu za kimaisha,kikubwa ni kupendana,kusikilizana na kuvumiliana.
Si kweli mtu mwenye upendo wa dhat pekee ni masikini na akimpata mtu anamwamini na kumshikilia possibility ya kukuacha ni ndogo sana pind anapopata mtu mwenye huwezMwanamke masikini ana uza utu wake kwa urahisi sana kuliko yule mwenye uwezo
Kwanza kitendo cha mwanamke kuwa na elimu yake kichwani na uwezo wa kipesa hiyo inatosha kabisa kutomendewa mendewa hovyo na wanaume.
Hawajafundwa hao!!! Am mind set problemsAsilimia kubwa ya wanawake masikini wengi hawajui nini maana ya ndoa
Wengi wao wanadhani wanaolewa ili watatuliwe shida zao na pia wengi wao wana olewa ili kuwalingishia majirani zao ambao hawajaolewa bado
Ndio maana ndoa nyingi za uswahilini huwa hazidumu .

I will do all my best to provide and give you anything you deserve mahondaw wangu...1-Alonacho kajaaliwa - jahazi modern taarabu
2- Bora uzima maisha ni matokeo - mahondaw
Smart911 nakupenda sana

Ni wachache mno, point inayobeba kila kitu ni pale aliposema wanakuwa na wanaume wengi wakiamini kuwa na sehemu nyingi za kupeleka shida zao inawarahisishia maisha kumbe ndo wanalikoroga zaidi.Samahani mkuu si wote, uliyempata hakukupenda tu, wako maskini wanaoheshimu ndoa zao na wakaheshimika.
Mtaolewa hukohuko kwa Mtogole.Sasa sisi wa Kwamtogole tuolewe na nani jamani?
sio bahat nasibu..in short umempa mwenzio mkosiKwahiyo mimi niliyemaliza la saba B kuolewa na engineer ni bahati nasibu?
punguza povu......maskini wengi mnazingua.umaskini ni laana na sio kingine.Mtoa mada fala kweli akili huna KBS.....ukitedwaa kaa nyumbani tuliaaaa siyo kuandika ushuzi km huuu
Ni kweli lakini hawa ndo wanaliwa hadi maofisiniMwanamke masikini ana uza utu wake kwa urahisi sana kuliko yule mwenye uwezo
Kwanza kitendo cha mwanamke kuwa na elimu yake kichwani na uwezo wa kipesa hiyo inatosha kabisa kutomendewa mendewa hovyo na wanaume.