Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Masikini uliowataja hapo ni kama kina Wema,Wolper na wengineo wanaotegemea papuchi zao kama mtaji au?Maana ninavyojua mimi binadamu hurithi tabia kutoka kwa wazazi(influence and adoption).Ukiongelea suala la umasikini kuwa ndio sababu ya mtu kuwa na tabia mbaya nakataa kabisa.Zipo nchi zinazoongoza kwa kuwa na umasikini mkubwa na familia nyingi ni za kimasikini mfano Somalia na Sudan lakini watu wana maadili na sifa zote anazotakiwa kuwa nazo mtu timamu.Umasikini hauwezi ku-justfy tabia ya mtu bali mazingira aliyokulia.I need no povu.
mkuu tabia sio lazima urithi tuu.umasikini ni laana usiwe mbishi kiasi hicho ikatae hyo hali kama unayo na kesho utanishukuru.kunakitu kinaitwa intimacy unaweza uka absorb mikosi na laana za partner wako japo ww ukiwa clean na mambo yako yakavurugika kila idara.Nimesoma uingereza kwa miaka 7 kuhusu mambo ya human development kwaiyo nakifahamu nnacho kueleza.kama unatabia ya kujisomea vitabu ntakusaidia for free walau upate mwangaza kidogo.
 
sina ubaguzi mkuu...unashindwa tuu kukubali reality.hata Mungu ameongea kuwa umaskini ni laana kwa msaada soma(kumbkumb LA torati 28).nisamehe kama nimekukwaza
Duh!
Umaskini ni laana, wakati huo huo tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Tuweje sasa mkuu unashauri?
 
Duh!
Umaskini ni laana, wakati huo huo tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Tuweje sasa mkuu unashauri?
kila kitu kina kiasi mkuu unapozidisha mambo yakuwa saw a.mfano kwny kutabu cha mithali mfalme Suleiman ana mweleza Mwenyezi Mungu asimpe umaskini asije akaiba na wala utajiri uliozidi asije akamsahau.Mkuu ntumie email yako inbox nikutumie e-books walau hata 6 upate kitu kidogo umasikini ulianzia wapi na kwann.
 
Ingelikua hii mitazamo wanayo wazazi wetu sidhani kama wengi wetu humu tungezaliwa... ila sisi vijana tumekua na mawazo ambayo hata uhalisia hayana
 
Kuna wanawake masikini hawapendi kuwa malaya, mimi kipindi nipo O level mtaani kulikuwa na dada anaitwa Asia ana kiuno chembamba alafu bonge la shepu, alikuwa malaya mpaka kufikia hatua ya kujiuza, kwao anakaa na mama, mama yake kazi za kuungaunga, yy ndiye alikuwa anailisha familia. Lkn ile tabia ya umalaya alikuwa anaichukia, bahati nzuri akapata jamaa ana uwezo wa wastani, yule demu alitulia tuli, akaja akapata mimba, ana karibia kujifungua, wanampima vipimo vinaonyesha kaathirika, demu alichanganyikiwa haikupita hata mwaka akafa. Kuna mwengine nae ni binti ambaye hata mm nilizoeana nae kwao masikini hana uhakika wa kula, ila ni black Beauty moja matata, alikuwa anazunguka kwenye mabaa mtaani kutafuta wanaume, baadaye Kuna jamaa akaja muoa sasa hivi katulia, kaacha kuvaa nguo za ajabu ajabu, yupo na mume wake na mtoto wao. Wapo wengi ninao wafahamu walikuwa malaya sasa hivi wametulia na ndoa zao. Kwa hiyo ndugu, hawa dada zetu sometime njaa ndio zinawafanya wawe malaya, lkn kama akipata mtu tu wakumtimizia, mahitaji yake ya msingi (sio luxury), mara nyingi huwa wanatulia. Alafu usidanganyike na hawa watoto wa geti kali wengi wao wana viburi, dharau, hawajui kazi zile za nyumbani, ujuaji mwingi mpaka wanakela
 
Uamsikini wa kipato sio sawa na umasikini wa akili,,anaweza kua kwao wana hali ngumu lakin kichwan ni smart,,na elewa kwamba mwanamke yyte yule bila kujali hali yake ya maisha kama kishua au ya kigumu akiweka akili kwamba papuch ndio mtaji huyo kashapotea... Bahat nzur nilishanunua papuch za madent weng wa chuo kipind hicho hakuna watoto wa makapuku mkuu nakuambia,,ila wanagegedwa snaa maana home walikosa uhuru sasa huku hostel tukikua tunawapiga kwa santiana na Savanna tu bhas.... So umalaya hauangalii utajiri au umasikini
 
Hiyo ilikuwa zamani

Mwanamke maskini hawezi kukupenda kwa dhati na hata kama atakupenda halafu akatokea jamaa ana pesa za kutosha huyo mwanamke hata kama atakuwa hampendi huyo kibosile akawa anakupenda wewe lakini kadri siku zinavyozidi kwenda atazoeshwa hela ambazo hakuwahi kuzishika na upendo kwako automatically utapungua tu ,atakutafutia kisababu kidogo muachane.
Hahahah huyo mwanamke wa hivyo si lazma awe masikini. Tunachanganya mahali pamoja, mwanamke yeyote anaweza fanya hivyo akiwa na asili ya tamaa ya mambo makubwa na wenye tabia hio majority ni malimbukeni. Inategemea pia na malezi mtu aliyokulia, kama alikuwa mtu wa kupewa kila kitu on demand ipo kazi tofauti na wale ambao waliahidiwa nikipata ntakununulia mwanangu wakakua katika spirit hio.

Ni rahisi sana kumjua mwanamke limbukeni ukiwa nae ingawa kiasili wanawake wote wameumbwa na tamaa inategemea na level of tolerance.

Kuna mwanamke ambaye atakosa uvumilivu pale akiona tu kuwa wenzake wanamtambia sana na vitu vya thamani walivyopewa na mabwana zao ilihali we unauwezo mdogo wa kumtimizia kama wenzie.
Badala ya kuchukulia easy kulingana na level yenu kiuchumi ghafla ataanza kutafuta alternative ya bwana mwenye pesa zaidi na visa vinaanza eventually akishampata utaandika maumivu tu hata kama mmependana kiasi gani,mlikaa miaka mingapi, mlipanga future pamoja na kiasi gani umejitoa kufanikisha hilo.

Mwanamke huyu ndie wa kumuogopa sana maana hana akili hata kidogo ya kujiwazia mwenyewe anashikiwa akili. Pili ni mbinafsi wa kutupwa maana anapelekshwa na tamaa ya muda mfupi pasi na kujali utu kwa kutaka kila anachokipenda apate hapo hapo. Mwanamke wa hivi ndio wale hata ukifulia ghafla anakukimbia.



Kuna aina nyengine ya wanawake ambao wana uwezo mzuri wa ku sync tamaa zao na impact yake kwa kutumia akili.Hawa ndio wake wa kuoa sasa. Yani huyu atai handle tamaa yake in a very intelligent way, ameona wenzake wameimprove atakuja kama anakupa hints kijanja na plans za namna gani ya nyie ku progress then anaskilizia useti mipango muanze kujiendeleza akikupa full support. Hata lazimisha mambo ambayo hayawezekani ghafla. Aina hii ndio wale waliokulia mazingira amabayo yaliwalazimu kusubiria kile wakitakacho kabla ya kukipata.
Aina hii ndio wapo wachache sana sikuhizi maana utandawazi umefanya kuwaficha sana.Ukimpata wa hivi utaiona pepo hubani.
 
Only awareness z enough bana, Acha kutudangaya hapa, Basi tuseme ww sio maskin, kwaio ww n mwaminifu 100%? wadada msikubali huyu n mchochezi. heri maskin wa pesa kuliko mawazo.
Tupige vita umaskin lkn si kwa namna hii,
 
Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini

Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...

Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.

Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...

Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...

Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.

Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo

BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
kaka unamanisha umasikini upi? wakipato au wafkra......... Wikipato hamna shida mtu akijitambua alikotoka na akiwa namaono yake ya mbele. ila umasikini wafkra ni baraa ata mkata nyasi anambeba tu ambaye hana chochote driver bodaboda houseboy muunza duka wote wenye kipato duni wanamchezea kisa umasikini wafkra
 
Ukioa mwanamke mwenye pesa unaambiwa marioo
Ukioa mwanamke maskin unaabiwa utaibiwa atauza utu wake
Mna nia gani arooo!!??
Acha tubaki baki sawa
Hamna namna bado tupo tupo maana ni kosa kubwa kukosea kuoa
 
Ni mtazamo tu wa mtoa mada, ila mm nahisi kuwa ni hulka ya mtu
 
Mwanamke Asipojitambua Zitaumia Sehemu zake za Siri Na kupoteza Ubora Mapema.
 
Back
Top Bottom