Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Sio kweli mkuu maskin ndo mwenye mapenz ya dhati lambda ulikutana na kicheche
 
Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini

Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...

Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.

Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...

Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...

Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.

Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo

BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Katika vitu ambavyo sitokuja kufanya makosa kama kuoa mwanamke asiyesoma (mwenye elimu ndogo) pia msichana maskini

Ukioa mwanamke masikini umeoa ukoo mzima
 
Ni tabia tu ya mtu,wengine hata wakiwa familia bora huamua tu kuwa vicheche,wapo maskini wanaojiheshimu na hawababaiki ovyo
 
Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini

Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...

Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.

Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...

Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...

Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.

Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo

BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Ila sio umaskini ndo chanzo nakataa na kupinga mwanamke wa kutaka kujua kila kitu ndo mbayaaa sanaa.BORA MWANAMKE MASKINI KULIKO MJINGA NA MPUMBAVU WA MAPENZI.
 
Kwanzaa tukuulize mkuu mtoa uzi umekutana na mwanamke wa namna hiyo? Kama jibu ni YES, manake ulifanya uzembe kuwa nae, au kisa alpendeza siku io unamtokea??
Anyway, ilibidi kufight hard ñ hard kumtunzaa, maana kama mpaka umefka point ya kuona hayo maana yake ulishindwa kuplay part yako.

Ila kama na nyie wadada mliotajwa kwenye huu uzi mpo ebu mlegezee kdg sio mpk muandikwe humu Jf.

kwa taarifa yako mtoa mada hawa unaowaona maskini ndio kabisa katika maswala ya kimapenzi..yaani yule mdada anafahamu huyu bwana amenipenda bila kuzingatia ulitima niliomo..hivyo anakuheshimu na kujiheshimu..hata hivyo hapakosi mmoja au wawili wenye matatizo hayo
 
Mtoa mada fala kweli akili huna KBS.....ukitedwaa kaa nyumbani tuliaaaa siyo kuandika ushuzi km huuu
 
Kwanzaa tukuulize mkuu mtoa uzi umekutana na mwanamke wa namna hiyo? Kama jibu ni YES, manake ulifanya uzembe kuwa nae, au kisa alpendeza siku io unamtokea??
Anyway, ilibidi kufight hard ñ hard kumtunzaa, maana kama mpaka umefka point ya kuona hayo maana yake ulishindwa kuplay part yako.

Ila kama na nyie wadada mliotajwa kwenye huu uzi mpo ebu mlegezee kdg sio mpk muandikwe humu Jf.

Mkuu...mwanamke maskini utamfanyia vitu vingi lakini hariziki...unaweza ukamfanyia shopng Leo..kesho ikatoka fashn mpya yuko lazi agawe penz kwa Jamaa mwingine ili tuu apate anacho kitaka
 
Back
Top Bottom