Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
We mwehuuu nin wewe skili hunaPovu LA mwanamke maskini

Kweli kabisaEngineer? La saba huishia kuolewa na manyoka wale wanakoroga zege. 4m4 huolewa na mwalimu wa primary
Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini
Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...
Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.
Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...
Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...
Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.
Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo
BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Fyuuuu mda huo sina km limekutachi mfundishe/mueleweshe wewe alaaaMkuu jaribu kutumia lugha ya ustaarabu ,muelekeze taratibu atakuelewa
Na hiyo ndio sababu ya kuleta mjadala na kwenye mjadala siku zote watu hamuwezi kuwa na mawazo sawa kila mtu lazima atakuwa na maono yake.
Unakosea sana mkuu...Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini
Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...
Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.
Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...
Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...
Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.
Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo
BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Sawa kaka Jovita ,Fyuuuu mda huo sina km limekutachi mfundishe/mueleweshe wewe alaaa
Sawa kaka Jovita ,
Mm sijazoea kubishana na mtu huwa namuelekeza mara moja asipoelewa huwa namuacha tu afanye anachojiskia.

usipende shari sawa mkuu
Huu utafiti uliufanya kwa namna gani?Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini
Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...
Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.
Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...
Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...
Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.
Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo
BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
usipende shari sawa mkuu
Humu tupo kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kujuzana mambo mbalimbali
Lugha zisozofaa hazipendezi wala nini.

Vicheche sana, hawafai kabisaSio kweli mkuu maskin ndo mwenye mapenz ya dhati lambda ulikutana na kicheche
Yeye lugha aliyotumia umeions nyepesiii???? Katumia lugha Kali sanaa
Kama neno lipi la mleta mada alilosema ambalo unaliona ni kali?Yeye lugha aliyotumia umeions nyepesiii???? Katumia lugha Kali sanaa
Kweli kabisaUsaliti ni tabia ya mtu tu haijalishi katoka familia gani msitake kutuchangya bhana