Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Kwahiyo mimi niliyemaliza la saba B kuolewa na engineer ni bahati nasibu?
Asilimia kubwa ya wanawake masikini wengi hawajui nini maana ya ndoa

Wengi wao wanadhani wanaolewa ili watatuliwe shida zao na pia wengi wao wana olewa ili kuwalingishia majirani zao ambao hawajaolewa bado

Ndio maana ndoa nyingi za uswahilini huwa hazidumu .
 
Kuna ka ukweli flani kwenye hii posti yako
Kutokana na uzoefu na sehemu ninapopatia riziki yangu kupata kesi Kama hizi ukiangalia zinatokea kwa Wote wanaume & wanawake au family zenye kipato cha chini...!!
 
Mkuu...mwanamke maskini utamfanyia vitu vingi lakini hariziki...unaweza ukamfanyia shopng Leo..kesho ikatoka fashn mpya yuko lazi agawe penz kwa Jamaa mwingine ili tuu apate anacho kitaka
Hahahaha huyo hakuwa mwãnamke bali ni mwizi.

Lakini sidhani km ulimuelezea situation yako. Usikute ulimwambia unamiliki ges ya mtwara.
 
Mtoa mada fala kweli akili huna KBS.....ukitedwaa kaa nyumbani tuliaaaa siyo kuandika ushuzi km huuu
Mkuu jaribu kutumia lugha ya ustaarabu ,muelekeze taratibu atakuelewa

Na hiyo ndio sababu ya kuleta mjadala na kwenye mjadala siku zote watu hamuwezi kuwa na mawazo sawa kila mtu lazima atakuwa na maono yake.
 
Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini

Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...

Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.

Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...

Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...

Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.

Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo

BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Pole mimi ni mwanaume lakini kusema wanawake masikini wasaliti hawana mapenzi ya kweli nakataa.

Usaliti ni hulka ya mtu haijalishi masikini wala tajiri. Nilipata msichana ana uwezo kifedha, kwao maisha mazuri lakini cha ajabu hana mapenzi, mjeuri ana majibu mabaya. That's all
 
Hahahaha huyo hakuwa mwãnamke bali ni mwizi.

Lakini sidhani km ulimuelezea situation yako. Usikute ulimwambia unamiliki ges ya mtwara.
Nilitolea mfano tuu...lakini kama ww mwanamke wako ni anaetoka kwenye umaskini..na. Bado hujaona madhaifu yake....oa kabisa. Na utuletee mrejesho
 
Mkuu...mwanamke maskini utamfanyia vitu vingi lakini hariziki...unaweza ukamfanyia shopng Leo..kesho ikatoka fashn mpya yuko lazi agawe penz kwa Jamaa mwingine ili tuu apate anacho kitaka
Sana sana hii mitandao ya kijamii hususani IG ndio inawapelekesha sana

Wengi wana penda kuigiza maisha ,wanapenda maisha ya show off sana

Halafu utakuta mtu anaishi manzese ukimuuliza anaishi wapi anakwambia Mbezi ,Mikocheni nk.
 
Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini

Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...

Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.

Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...

Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...

Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.

Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo

BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Nadhani umekoseaaa katika uandishi wako labda ulikuwa na maana ya umaskini wa kifikra ila sio umaskini kipato. Kwa sababu katika jamii ambayo inaheshimu mahusiano ni jamii ya watu wa chini kwa maana furaha yao kubwa ni mapenzi. Ila jamii ya kati na juu hizi ndo hufanya mapenzi kuwa biashara aidha kukuza kipato Chao ama ikawa ndo ajira rasmi.
 
Usaliti ni tabia ya mtu tu haijalishi katoka familia gani msitake kutuchangya bhana
 
Daaaah maskini sie ndio maana tunaumizwa kila mara kumbe sababu ni mtazamo Kama huu hebu tuoneeni huruma wanawake tuliotoka kwenye familia duni nasi ni binadamu vile vile
 
Kweli kabisa, papuchi ndo inayopungizia makali ya maisha yao, ndo uchumi wao
 
Daaaah maskini sie ndio maana tunaumizwa kila mara kumbe sababu ni mtazamo Kama huu hebu tuoneeni huruma wanawake tuliotoka kwenye familia duni nasi ni binadamu vile vile
Jifunzeni kupenda kwel
Badilikeni
 
Mleta maada ufaham kitu kimoja kuwa, hakuna masikini permanent. Umasikini huwa tunapokezana.... Akiwa masikini Leo , kesho unamkuta tajiri... Mimi ningekuunga mkono kama ungejikita zaidi kwenye tabia....Hakuna mwanamke Malaya kama tajiri.... Yupo tayari kuliwa na shambaboy tena mashambani humo.... Anamlipa kijana, anamshughulikia ipasavyo then imetoka hiyo.... Wanawake tajiri ni Malaya kuliko masikini..nukta....
 
Back
Top Bottom