Mwanamke kuwa na kitambi

Mwanamke kuwa na kitambi

Je mwenye tumbo lililolalia chini wastani wa kufunika robo ya urefu wa mapaja anaweza kupunguza kwa kufanya mazoezi?
 
Je mwenye tumbo lililolalia chini wastani wa kufunika robo ya urefu wa mapaja anaweza kupunguza kwa kufanya mazoezi?

Mazoezi kila kitu. Ndio maana Simba hawana vitambi.
 
Mazoezi kila kitu. Ndio maana Simba hawana vitambi.

Na mwenye matiti makubwa sana kupita kawaida kitambi kikibungua si atatamani na kifuani kipungue? Yeye hana hata la kumshauri.
 
Na mwenye matiti makubwa sana kupita kawaida kitambi kikibungua si atatamani na kifuani kipungue? Yeye hana hata la kumshauri.

Kuhusu matiti sina utaalamu labda amuone doctor Rahabu au aende MEWATA.
 
Kuhusu matiti sina utaalamu labda amuone doctor Rahabu au aende MEWATA.

Je kama mtu ni mnene hasa kwa mwanamke, akawa na makalio makubwa kila anapopita watu wanageuza shingo zao. Ghafla akakonda makalio yakapotea, akawa kama namba 1 tukiachilia mbali matitizo ya kiafya na mazoezi kuna kitu kingine kinachangia kupungua kwa mwili?
 
Na watu wameshaanza kuku consult...sijuhi unacharge kiasi gani @ Annael?

Je kama mtu ni mnene hasa kwa mwanamke, akawa na makalio makubwa kila anapopita watu wanageuza shingo zao. Ghafla akakonda makalio yakapotea, akawa kama namba 1 tukiachilia mbali matitizo ya kiafya na mazoezi kuna kitu kingine kinachangia kupungua kwa mwili?
 
Unakuta mwanamke hata hajaolewa lakini anatumia madawa ya uzazi wa mpango na hasa vidonge vya kuzuia mimba vinaleta vitambi
 
Wakuu mwanamke mwene ktambi cmuangaliag mara mbili.... na hasa ukimvua nguo ndo anatia kinyaa kabsaa hata awe na shape ya maana kiruuuuuuuu
 
Ukiwasikiliza hawa utadata...

Kuna ma feminist waliweka picha nyiiingi za wamama ndani ya bikini...wote wana vitambi...ilikuwa expo fulani hivi...message ilikuwa usikubali mtu akuamulie muonekano...

Wanawake tumekuwa tunatathminiwa kama matoy...ndio maana mimi naamuaga kuwapa za uso kwenye thread za vibamia ili nao waone utamu...

Na sasa hivi wanawake wamedata na kutafuta matumbo flat ...ili kuwafurahisha mabwana (wanaume)...

Ni vizuri kutunza afya kwa manufaa yetu...lakini si kwa pressure ya mtu baki...

Kwa comment yako tu tayar una presure wewe
 
Back
Top Bottom