Safari hii nataka nikutangazie ndoa kabisa,lakini hadi kitambi kufutike kwanza Gym
Aise kumbe wewe ni KE.
Mimi ni Me. Ila ulivyokuwa unakomenti.
Nachukia kitambi mimi !!! cz hata ukivaa nguo mzuri hupendezi mmmmh.
Aiseeee! JF kiboko. Unakitambi?
hahaaa kitambi hakifai... mazoezi ya tumbo muhimu
Kitambi kinaboa hasa wakati wa kudo ukiwa unapenda kudo na kukiss. Hii ni sawa na mtu amelalia mpira. Sasa ukute Me na ke wote vitambi. Punguza vitambi waume zenu wafaidiDuh hata mm nina kitambi
Ni kwa vile wenzi wenu hawasemi ila wakieleza ukweli ...... Inabore na ukute mwanamke anapenda kufakamia chakula kila siku tumbo limejaaHahahaa nina kitambiii halafu hapa nilipo nimeshibaa bas hatari tupu...
matumbo bana!