Mwanamke kuwa na kitambi

Mwanamke kuwa na kitambi

mimi naona mwanamke akiwa flat screen na kitambi ndo anachukiza but kama neema za allah zipo kitambi sio ishu

Duh changu kimezd .....mbele kitambi nyuma flat bas watu ujua nna mimba nisiyozaaa
 

Attachments

  • 1407594375224.jpg
    1407594375224.jpg
    29.2 KB · Views: 501
Mimi nimekulia kijijini usukumani sijawahi kuona mwanamke mwenye kitambi.

Baada ya kuja hapa Dar nilishangaa sana kuona wanawake wenye vitambi.

Ikabidi nianze kufuatilia kwanini wanawake wanavitambi.
1. Pombe hasa beer ndio zinawapa vitambi wanawake.

2. Mwanamke akijifungua huwa anafumgwa tumbo kwa mda fulani lakini sasa hapa mjini hawafungwi.

3. Kazi wanazofanya wengi wenye vitambi ni za kukaa tu. Wanakuwa hawana mazoezi. Kijijini mwanamke anafanya kazi ambazo ni sehemu ya mazoezi.


Ni hayo tu.

!
!
pia wanakula ugali/wali mwingi kuliko mboga.
 
Back
Top Bottom