Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

kadiri kasimba

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
578
Reaction score
1,107
Wakuu mko salama?

Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence)

Nini maana ya Queefing??
ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba.

Utajiuliza inawezekanaje ?? ni hivi hewa huingia ndani uke kutokana na baadhi ya style za tendo au kulegea kwa misuli ya uke sasa baada ya muda hewa hiyo hutoka na kutoa hiyo sauti

Kwa ujumla, queefing ni hali ya kawaida haina harufu na haina madhara kiafya.

.JE MARA YAKO YA KWANZA KUSIKIA HIYO SAUTI ULIWAZA NINI tupe maoni yako🤔
 
Samia atawale hadi hadi 2045.
 
Aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom