Hahahaa, aisee haha imebidi nicheke,sikupanga kucomment hii thread..tehTutawachuna sana. Maana unaweza ukajibana wee kesho unatumuliwa anafaidi Mwingine,wanaume ni kama kifurushi cha mavi.
Alikushauri tu kwa mtazamo wake,hakukulazimisha wala kukuchuna bidada,punguza lawama...Huu uzi uko pande zote kuna wanaume pia majanga anaushauri wa kijinga jinga tu ambao hauna tija,wadada nasi tukae macho kuna mjinga aliniambia ninunue Boda nikauchuna nikaenda buy kiwanja nikajua eeh kumbe wanaume wengine bwege kabisa.
Hii comment inafanana na comments za Heaven Sent anazotoa JF kuhusu wanaume Heaven SentTutawachuna sana. Maana unaweza ukajibana wee kesho unatumuliwa anafaidi Mwingine,wanaume ni kama kifurushi cha mavi.
Unamtetea wa nini unataka kila detail hapa,we kua makini ushauri mwingine unapoteza,kikubwa kujiongeza.Alikushauri tu kwa mtazamo wake,hakukulazimisha wala kukuchuna bidada,punguza lawama...
Sawa asante, lakini pia nikushauri usimshirikishe mwanaume mambo yako wewe mpe taarifa tu kuwa kitu flani kimefanyika,huwa wanaushauri tofauti na unachotarajia,in short wanakatisha tamaaUnamtetea wa nini unataka kila detail hapa,we kua makini ushauri mwingine unapoteza,kikubwa kujiongeza.
kweli kabisa mpendwa wengi wako kwenye ndoa mguu mmoja nje mwingine ndaniMawazo mazuri. Tatizo wanawake wengi wapo kwenye ndoa kutimiza wajibu. Hawana malengo ya muda mrefu. Hawajiamini kudumu hapo, hata hatima ya watoto haiwahusu. 'Atajiujua yeye na watoto wake' ni maneno ya mwanamke, utadhani ni watoto wa kufikia.
Nipange matumizi wakati Kuna mwenzangu hapangiwi matumizi akuuuu
Khaa wewe mkaka jamani eeeh, haya nenda kanitafutie hizo comments zangu za design hiyo. Unazionaga wewe Peke yako tu au? Umenigandaje sasa mweeeHii comment inafanana na comments za Heaven Sent anazotoa JF kuhusu wanaume Heaven Sent
Nani kasema?
Nibane matumizi huku nje ana kimada anampa huduma zote.
Wanaume wenyewe nyie maji kupwa maji kujaa?
Bora hata yule member kule juu aliyejisemea mambo haya kwa wazungu....sie wa kibongo tushatia pamba kutokana na kasumba zenu.
Umeona eeee King'asti, mwanaume hakimbii vita bali anapambana navyo, sie watazamaji ndo huona zaidi makosa ya wachezaji wetu walioko ndani ya uwanja.Akikua ataelewa. Si unajua watazamaji mafundi kuliko kocha na wachezaji?
mwanaume majukumu bwana!